Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Suala la kutotulia sio la upande mmoja tukianza kutupiana lawama mjadala hautaisha leo. Ndo maana nikasema basi mahari igawanywe kwa wote ambao washapata utamu wa bidada au iondolewe kabisa. Binti akishakosa bikira tu basi hana uhalali wa kutolewa mahari na hii ingekua ivyo ivyo kama mwanaume ndie angekua anatolewa maharisio haki maana hata sisi hatupendi kubadili wanaume. ni vile hamjatulia mnachovya chovya!