Vijana wataoaje Wanawake wasio na Bikra?

Ajira huna, mahari utaweza kulipa? Tungekua tunawalipia na wanaume kipimo kingekua nini? Life itself is complicated bado na wewe unacomplicate
Kipimo kile kile tu...πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“
 
Mawazo ya hovyo haya[emoji1787][emoji1787] najaribu kufikiria, kuna wanaume watatoa mahari kidogo sana. Imagine katembea na 20 na wewe umetajiwa mahari 2m, ukigawa hapo utatoa laki yako unasema na mke[emoji1787]
[emoji3][emoji3][emoji3] that is valie for money
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…