Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Suala la kutotulia sio la upande mmoja tukianza kutupiana lawama mjadala hautaisha leo. Ndo maana nikasema basi mahari igawanywe kwa wote ambao washapata utamu wa bidada au iondolewe kabisa. Binti akishakosa bikira tu basi hana uhalali wa kutolewa mahari na hii ingekua ivyo ivyo kama mwanaume ndie angekua anatolewa maharisio haki maana hata sisi hatupendi kubadili wanaume. ni vile hamjatulia mnachovya chovya!
sawa tutawatolea mahari mana mnajitunzaSuala la kutotulia sio la upande mmoja tukianza kutupiana lawama mjadala hautaisha leo. Ndo maana nikasema basi mahari igawanywe kwa wote ambao washapata utamu wa bidada au iondolewe kabisa. Binti akishakosa bikira tu basi hana uhalali wa kutolewa mahari na hii ingekua ivyo ivyo kama mwanaume ndie angekua anatolewa mahari
Dada zangu mbona mnakua wakali kwa hicho kigezo cha kuwa bikira ndio mtolewe mahari? Kulikonisawa tutawatolea mahari mana mnajitunza
Mlajana alikula Kitoweo wali na SombeMla mlaleo mlajana kala Nini?🤣🤣🤣🤣🤣🪑
Hayo ndio yalikuwa mahubiri ya leo?Tupoze makali ya mahubiri kidogo!
Bila kupoteza muda hivi wanaume wenzangu mnawezaje kutoa mahari kwa mwanamke aliyeshindwa kuilinda bikra yake isipotee kabla ya ndoa? Hayo ni matumizi mabaya ya hela.
Ukio mke hana bikra jua umeoa mke wa mtu.
Jumapili njema
Yeah leo mahubiri yalihusu Uzinzi, nikaona nikumbushie suala la umuhimu wa bikraHayo ndio yalikuwa mahubiri ya leo?
Upo sahihiMughonile!
Habari za siku nyingi Wakubwa Kwa wadogo. Mzee Bikra nimerejea.... nitaanza na hawa viumbe wakataa Ndoa.
Ninyi mnaokataa ndoa, Oeni Wanawake Bikra.
Kama kuna Mwanamke Bikra na anataka kuolewa, muoe. MTU akikuuliza Kwa nini hauoi mwambie bado haujapata Mwanamke Bikra. Mwanamke asiyebikra hata ukimuoa huyo sio Mkeo.
Inashangaza mtu kumuita MKE Mwanamke ambaye hakumkuta Bikra, sijui no ukichaa au ushamba.
Bikra matter's
Zipo nyingi tu, tena original sio fekiBikra utazitoa wapi mkuu, Acha kujizima data , au ulikua jela ulifungwa 1923 ndo umetoka Leo?
HakikaMughonile!
Habari za siku nyingi Wakubwa Kwa wadogo. Mzee Bikra nimerejea.... nitaanza na hawa viumbe wakataa Ndoa.
Ninyi mnaokataa ndoa, Oeni Wanawake Bikra.
Kama kuna Mwanamke Bikra na anataka kuolewa, muoe. MTU akikuuliza Kwa nini hauoi mwambie bado haujapata Mwanamke Bikra. Mwanamke asiyebikra hata ukimuoa huyo sio Mkeo.
Inashangaza mtu kumuita MKE Mwanamke ambaye hakumkuta Bikra, sijui no ukichaa au ushamba.
Bikra matter's
Huu ni ukweli mchungu, utawasikia wanaleta sababu za kujifariji, usipooa bikra basi tafuta mwanamke wa kuzaa naye tu na usimpe moyo wako.Watu wame oa Bwawa, Sasa ukweli kama huu lazima uwachome.
zinatoka ama zinatolewaMkuu, bikra zinatoka wakiwa darasa la tano