Vijana wataoaje Wanawake wasio na Bikra?

Tunachangia content za mada, na sio wale wanaohusika tu. Ingekuwa hivyo, hata wewe ulistaili ukae pembeni, maana mada inahusu bikra na wanaume, vyote vipo nje ya uwezo wako.

Tubaki kujadili mada, nimekuuliza, hizo unafahamu miongoni mwa hizo mada zinazoponda wanawake, zingine zinaanzishwa na wanawake wenyewe?
Mwanamke anaejitukana mwenyewe sio mzima kichwani. Ila mada za kuita wanawake mal*ya, sijui hawana akili ni nyingi tena sana. Na zinaanzishwa na wanaume. So tuna haki ya kutetea. We unataka ninyamaze ili iweje? Lazima niseme. Sasa kama imekuuma kunywa maji. Ila wahusika habari wameipata
 
Hapo kwenye bold, umenishangaza sana mrembo? Kwani ww huwezi changia kwenye mada mpaka iwe imekuuma? Mfano, kwani ww ni malaya au huna akili? Maana umechangia kwenye hizo mada, au ni kwamba imekuuma?

Hii mada ungeamua kuchangia kwa points, ungeeleweka na ku-make sense. Ila umekuwa too emotional.

Kuna muda mtu unaweza ukawa sahihi, ila maneno unayoongea yakapoteza mantiki kabisa.
 
Sasa kumbe nabishana na mtu yuko mombasa walishamvunja mabega[emoji1787] no wonder. Huko tulishashukuru Mungu maana siku hizi mtoto wa kike hata akirudi saa sita usiku hawaulizi ila wa kiume saa kumi na mbili jioni uwe ndani.

Kuanzia leo kila anaekuja na mada kuhusu wanawake ni punga. Tumegeuka kuwa wake wenza na wanaume[emoji1787]

Wanatupiga vijembe wengi ukifuatilia ni mapunga
Wanatetea soko lao

Wanaume kamili wametulia tuli
 
Tukubali au tukatae ukioa mwanamke bikra,kuna feeling fulani hivi unapata hata ukimuangalia unajipiga kifua unasema hapa mimi ndio nimefungua njia, kuna raha unakua nayo ambayo kamwe huwezi kuipata kwa mke ambae humkuta bikra.

yote kwa yote, sote tunataka kilichobora zaidi, lakini maamuzi ya kuoa bikra au asie bikra yanabak kwa mtu mwenyewe.
 
Vijana wa hovyo watakuuliza unaongelea bikra ipi?
 
Nyie ndio mnatubakia watoto wadgo kuwa na fikra za vitu vya kizamn.
Kumbe binti kujitunza mpaka ndoa ni fikra za kizamani? No wonder siku iz vitoto vya form 3 tu unakuta nusu darasa havina bikra.
 
Mwanamke anaejitukana mwenyewe sio mzima kichwani. Ila mada za kuita wanawake mal*ya, sijui hawana akili ni nyingi tena sana. Na zinaanzishwa na wanaume. So tuna haki ya kutetea. We unataka ninyamaze ili iweje? Lazima niseme. Sasa kama imekuuma kunywa maji. Ila wahusika habari wameipata

Uliwahi sikia wapi Kurumbembe likasikilizwa?
Wanawake wenyewe wenye Akili timamu hawakai chungu kimoja na Mikurumbembe sembuse wanaume tuwasikilize
 
Tukubali au tukatae ukioa mwanamke bikra,kuna feeling fulani hivi unapata hata ukimuangalia unajipiga kifua unasema hapa mimi ndio nimefungua njia, kuna raha unakua nayo ambayo kamwe huwezi kuipata kwa mke ambae humkuta bikra.

yote kwa yote, sote tunataka kilichobora zaidi, lakini maamuzi ya kuoa bikra au asie bikra yanabak kwa mtu mwenyewe.

N kamwe aliyeolewa Bikra hadhi yake iko mbali na ambaye alikutwa mlango wazi kama lango la Sokoni
 
Hapo kwenye bold, umenishangaza sana mrembo? Kwani ww huwezi changia kwenye mada mpaka iwe imekuuma? Mfano, kwani ww ni malaya au huna akili? Maana umechangia kwenye hizo mada, au ni kwamba imekuuma?

Hii mada ungeamua kuchangia kwa points, ungeeleweka na ku-make sense. Ila umekuwa too emotional.

Kuna muda mtu unaweza ukawa sahihi, ila maneno unayoongea yakapoteza mantiki kabisa.

Nishakuambia Kurumbembe hawezi kuchangia Kwa point ataitoa wapi ilhali keshaharibiwa
 
Binafsi kwenye swala la bikra siwezi mtupia lawama zote mwanamke.

Mwenye lawama hapa kubwa ni sisi wanaume, sababu mara nyingi wanaotolewa bikira bado wanakuwa wadogo hata kujitambua bado.

Kiherehere Chao na Tabia ya umalaya na kupuuza wazazi ndio chanzo cha hao mabinti kutolewa Bikra wangali wadogo.
Lawama lazima ziwahusu Kwa sababu wao ndio walinzi namna moja wa miili Yao.

Mbona wengine wameolewa wakiwa n Bikra? Tena wamejitunza mpaka wamemaliza chuo
 
Back
Top Bottom