Ms Billionaire
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,452
- 4,955
Habari wameipataWaambie walokoswa akili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wameipataWaambie walokoswa akili
Mwanamke anaejitukana mwenyewe sio mzima kichwani. Ila mada za kuita wanawake mal*ya, sijui hawana akili ni nyingi tena sana. Na zinaanzishwa na wanaume. So tuna haki ya kutetea. We unataka ninyamaze ili iweje? Lazima niseme. Sasa kama imekuuma kunywa maji. Ila wahusika habari wameipataTunachangia content za mada, na sio wale wanaohusika tu. Ingekuwa hivyo, hata wewe ulistaili ukae pembeni, maana mada inahusu bikra na wanaume, vyote vipo nje ya uwezo wako.
Tubaki kujadili mada, nimekuuliza, hizo unafahamu miongoni mwa hizo mada zinazoponda wanawake, zingine zinaanzishwa na wanawake wenyewe?
Yaani kuna namna watu wanaongea vitu hata havina mashiko unabaki kujiuliza wanamaanisha nini!!
Hapo kwenye bold, umenishangaza sana mrembo? Kwani ww huwezi changia kwenye mada mpaka iwe imekuuma? Mfano, kwani ww ni malaya au huna akili? Maana umechangia kwenye hizo mada, au ni kwamba imekuuma?Mwanamke anaejitukana mwenyewe sio mzima kichwani. Ila mada za kuita wanawake mal*ya, sijui hawana akili ni nyingi tena sana. Na zinaanzishwa na wanaume. So tuna haki ya kutetea. We unataka ninyamaze ili iweje? Lazima niseme. Sasa kama imekuuma kunywa maji. Ila wahusika habari wameipata
[emoji23][emoji23]Yaani kuna namna watu wanaongea vitu hata havina mashiko unabaki kujiuliza wanamaanisha nini!!
[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa kumbe nabishana na mtu yuko mombasa walishamvunja mabega[emoji1787] no wonder. Huko tulishashukuru Mungu maana siku hizi mtoto wa kike hata akirudi saa sita usiku hawaulizi ila wa kiume saa kumi na mbili jioni uwe ndani.
Kuanzia leo kila anaekuja na mada kuhusu wanawake ni punga. Tumegeuka kuwa wake wenza na wanaume[emoji1787]
Wanaume wametulia. Tunabishana na mapungaseseWanatupiga vijembe wengi ukifuatilia ni mapunga
Wanatetea soko lao
Wanaume kamili wametulia tuli
Kumbe binti kujitunza mpaka ndoa ni fikra za kizamani? No wonder siku iz vitoto vya form 3 tu unakuta nusu darasa havina bikra.Nyie ndio mnatubakia watoto wadgo kuwa na fikra za vitu vya kizamn.
🤣🤣🤣 Kumbe we jamaa na joka jeusi post zenu hazikai chungu kimoja(haziivi)Kuna Watu wajinga Sana. Kwa hiyo Kwa Akili zako za kunguni unafikiri Bikra ndio kila kitu ndani ya Ndoa?
Uzuzu ni kipaji.
🤣🤣🤣 Kumbe we jamaa na joka jeusi post zenu hazikai chungu kimoja(haziivi)
Mwanamke anaejitukana mwenyewe sio mzima kichwani. Ila mada za kuita wanawake mal*ya, sijui hawana akili ni nyingi tena sana. Na zinaanzishwa na wanaume. So tuna haki ya kutetea. We unataka ninyamaze ili iweje? Lazima niseme. Sasa kama imekuuma kunywa maji. Ila wahusika habari wameipata
Tukubali au tukatae ukioa mwanamke bikra,kuna feeling fulani hivi unapata hata ukimuangalia unajipiga kifua unasema hapa mimi ndio nimefungua njia, kuna raha unakua nayo ambayo kamwe huwezi kuipata kwa mke ambae humkuta bikra.
yote kwa yote, sote tunataka kilichobora zaidi, lakini maamuzi ya kuoa bikra au asie bikra yanabak kwa mtu mwenyewe.
Hapo kwenye bold, umenishangaza sana mrembo? Kwani ww huwezi changia kwenye mada mpaka iwe imekuuma? Mfano, kwani ww ni malaya au huna akili? Maana umechangia kwenye hizo mada, au ni kwamba imekuuma?
Hii mada ungeamua kuchangia kwa points, ungeeleweka na ku-make sense. Ila umekuwa too emotional.
Kuna muda mtu unaweza ukawa sahihi, ila maneno unayoongea yakapoteza mantiki kabisa.
Binafsi kwenye swala la bikra siwezi mtupia lawama zote mwanamke.
Mwenye lawama hapa kubwa ni sisi wanaume, sababu mara nyingi wanaotolewa bikira bado wanakuwa wadogo hata kujitambua bado.