Vijana wekezeni, fainali umri mkubwa!

Kujibana ujanani ni jambo zuri ila vishawishi navyo ni vingi sana,hii imewagharimu watu wengi sana,vijana hili ni somo msilidharau...
Kweli mdogo wangu,Tukiwa vijana miaka ya 1999,Kuna Mzee alikuwa anatushauri,tukawa tunamkimbia asitupe story za Fainali uzeeni!Sasa tupo hai na yeye yupo Hai,hadi Aibu!Kuna jamaa mpka Sasa anaishi kwao na hela alipata sana.
 
Kama pesa ipo fanya vyote kwa pamoja.
Japo starehe Ina nguvu kuliko uwekezaji, huwezi ukawa na akili ya starehe ukawa na akili ya uwekezaji lazima kimoja kitaloose
 
Pana umri mengine ni kujidhalilisha tu,una miaka 50 unaingia club kucheza muziki watakushangaa watu ulichelewa wapi hadi ukaruka stage
Huo ni umri wa kuwa Ibadani
Ibadani ni umri wowote kama una Imani,Daudi alianza kumtumikia Mungu akiwa kijana,Samwel,Musa,Ibrahimu sio uwe Mzee Ndio umkumbuke Mungu,Mkumbuke Mungu wakati wa ujana wako,usije ukasema hili Sina furaha!Maandiko hayo.
 
Kama pesa ipo fanya vyote kwa pamoja.
Japo starehe Ina nguvu kuliko uwekezaji, huwezi ukawa na akili ya starehe ukawa na akili ya uwekezaji lazima kimoja kitaloose
Utawatumikiaje mabwana wawili,pesa na Mungu,lazima uchague moja pesa au Mungu.Hapo Sasa!
 
Na huwezi mtumikia Mungu bila pesa,masikini hawawezi urithi ufalme wa Mungu maandiko yanasema.
Mungu anasema vitu vyote ni vyangu,Ardhini,Baharini na Nchi kavu!Sasa kama vyote ni vyake ,hizo sababu unazitoa wapi?!!Pia anasema humpa amtakaye na humnyima amtakaye!Wote anawataka, Sasa!
 
Chawa bana,maelezo meengi huna lolote choka mbaya wewe
 
Mungu anasema vitu vyote ni vyangu,Ardhini,Baharini na Nchi kavu!Sasa kama vyote ni vyake ,hizo sababu unazitoa wapi?!!Pia anasema humpa amtakaye na humnyima amtakaye!Wote anawataka, Sasa!
Mungu anataka sadaka,zaka,nk ibada ni kuwajali masikini yatima na wajane.
Kuwajali means kuwapa vitu utawapa Nini huna pesa, maandiko yanasema " usiende mikononi mwa Bwana mikono mitupu" means usiende kanisan bila sadaka.
Injili inataka pesa,kuwalisha watumishi wa altare kunataka pesa,Sasa utakwepaje pesa.
 
Hivi miaka 50 sindiyo umri wa akina Nape,January n.k?
Au ukiwa siyo mwanasiasa,uzee unakufika mapema?
Pana umri mengine ni kujidhalilisha tu,una miaka 50 unaingia club kucheza muziki watakushangaa watu ulichelewa wapi hadi ukaruka stage
Huo ni umri wa kuwa Ibadani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…