Vijana wengi hawajui siri hii: Nusu ya kipato chako ndio kiwango cha matumizi yako hayatakiwi kuzidi hapo

Vijana wengi hawajui siri hii: Nusu ya kipato chako ndio kiwango cha matumizi yako hayatakiwi kuzidi hapo

Hyo sanaa ina work out kama ukikwama unapakwenda kulilia shida yako ukasaidiwa kwa wakati lakn kama wengine na sisi ambao mjini upo wewe kama wewe hata huko ulikotoka ukipata shida hakuna msaada aaaaah sidhani ?
 
Ukiweza kufanya hivyo hongera.

Kuna akina mimi ambao kipato kinaisha kabla hakijaingia mkononi na ukitulia ukipiga mahesabu unaona negative kama 500k hivi,hatari!

POLE sana mkuu. 500k ni pesa nyingi Sana kimahesabu kama utakuwa na nidhamu.

Kwa familia ya watu wanne mpaka watano; 200k inatosha kwa chakula mwezi mzima kama utanunua kwa jumlajumla.
Na unakila Diet sio kujilia lia.



Unaposema tusihonge hizi huduma za kimwili ambazo ni haki ya kila mwanaume tutazitimizaje? Mbususu ni haki ya kila mwanaume, na ili uipate bila stress,mhonge huyo mtoto wa mtu ili hata ukiichakata msifuatiliane sababu ashachukua chake.

Kwa nini uipate kwa Stress? Hapa nashindwaga kuelewa kabisa.
Kwamba thamani yako iko chini Sana?
Hujawahi kung'ang'aniwa na kupiganiwa na wanawake? Yaani wao wanajileta wenyewe?
Ukiona hivyo ujue umefeli maeneo nyeti yote.

Huna kipato cha kueleweka.
Hawaoni Future yako.
Huna ujuzi au kipaji chakueleweka kwa kiwango cha juu.
Huna mwonekano WA kuvutia.
Hujiamini.

Ukikosa Moka ya mambo hayo lazima upate tabu Sana.

Lakini wanawake sio viumbe wa kukupa stress na kuwahangaikia na kuwapaa pesa ili uwe nao.

Zaidi wanawake ukishakuwa potential wao ndio wanawekeza kwako.
Ukiona hawawekezi ujue wewe sio potential au hujui potential yako. Vijana wa sasa wanasema upoupo
Ukitaka ule demu bila gharama basi utatumia muda mwingi kuwa romantic na mambo mengine huko.

Uwe romantic unamaanisha nini?
Wewe uliwahi kuona wanaume wanaopapatikiwa na wanawake wakawa Romantic?
Ungesema hata aslimia 5% basi ya kipato ndiyo tutunze tajiri.

Kwanza haya maisha kila mtu anaishi kwa mara ya kwanza hakuna mwenye uzoefu nayo
 
elimu ya fedha inasema money's value vary base on time,siamini sana kwenye kutunza akiba unatunza akiba ili iweje? kama unataka ujenge bora ukope kazini ukatwe kidogo kidogo au chukua mkopo kama umejiajiri halafu sasa pandisha mjengo toka kwenye kupangisha ingia kwako maliza mkopo wako,chukua mwingine fungua mradi mwingine ,fanya vitu kwa wakati uliopo na sio kusubiri wakati kwa kuweka kidogo kidogo

Upo sahihi kabisa.

Lakini lazima tuzungumzie kiuchumi hasa kwa vijana wa uchumi wa chini.

Kutafuta ujuzi ni hatua ya Kwanza ya kuingiza kipato.
Kuingiza kipato ni hatua ya pili.
Kuweka Akiba ni hiatua ya tatu.
Kuwekeza kupitia Akiba ni hatua ya nne.

Kuchukua mkopo ni mpaka uwe na vigezo.
Kwa walioajiriwa ni nzuri Sana kama MTU tayari ashaweka mpango wake vizuri.

Akiba ya mwaka mmoja MTU akiweka milioni moja.
Milioni Moja anafungua biashara ya mtaji huo. Huko kilekile chanzo cha kwanza alichopatia hiyo milioni Moja kikiendelea kuwepo na kuweka akiba
 
Upo sahihi kabisa.

Lakini lazima tuzungumzie kiuchumi hasa kwa vijana wa uchumi wa chini.

Kutafuta ujuzi ni hatua ya Kwanza ya kuingiza kipato.
Kuingiza kipato ni hatua ya pili.
Kuweka Akiba ni hiatua ya tatu.
Kuwekeza kupitia Akiba ni hatua ya nne.

Kuchukua mkopo ni mpaka uwe na vigezo.
Kwa walioajiriwa ni nzuri Sana kama MTU tayari ashaweka mpango wake vizuri.

Akiba ya mwaka mmoja MTU akiweka milioni moja.
Milioni Moja anafungua biashara ya mtaji huo. Huko kilekile chanzo cha kwanza alichopatia hiyo milioni Moja kikiendelea kuwepo na kuweka akiba


malengo katka maisha ni mazuri sana ila tuwe wazuri kwenye calclation za baadae kaka ni hivi tunaposema value of money today isn't the same of tomorrow kwa maana laki mojacya leo ukienda nayo sokoni hutanunua vitu idadi sawa na miaka mitano iliyopita sababu kubwa ni inflation ,government policy ,economic status,afya pia hivi vitu hupaisha sana thamani ya pesa mfano unataka kuwa na biashara mwakani itakugharimu sana tofauti na leo,unataka kujenga mwakani tofali moja kwa pesa za kitanzania leo halitakuwa sawa na la mwakani,so napenda kuwasisitiza linalowezekana leo lisingoje kesho
 
taasisi ndogo ndogo za fedha kweny jamii zipo na zinatoa mikopo iwe vicoba ,banjs utt nk ni sehemu sahihi kuinuka kiuchumi maana ni rahisi to access loans with reasonable interest ,ukiweza kukopesheka wewe ni tajiri
 
Unachosema ni kweli ila kuna siku mambo yankuwa magumu sana ..mimi matumizi yangu 6000 . Inabidi nipambane kwa siku nipate faida at least 12000. Kuna siku hata hiyo faida ya 6000 huipati utafanyaje?
 
Kwa familia ya watu wanne mpaka watano; 200k inatosha kwa chakula mwezi mzima kama utanunua kwa jumlajumla.
Na unakila Diet sio kujilia lia.

Diet gani hapa mkuu hebu fafanua vizuri nipate kukuelewa



Kwa nini uipate kwa Stress? Hapa nashindwaga kuelewa kabisa.
Kwamba thamani yako iko chini Sana?
Hujawahi kung'ang'aniwa na kupiganiwa na wanawake? Yaani wao wanajileta wenyewe?
Ukiona hivyo ujue umefeli maeneo nyeti yote.

Huna kipato cha kueleweka.
Hawaoni Future yako.
Huna ujuzi au kipaji chakueleweka kwa kiwango cha juu.
Huna mwonekano WA kuvutia.
Hujiamini.

Siku zote mwanaume huwa na hisia kidogo na wanawake wanaotushobokea.
Lakini pia, wanawake wa bure utamuita sehemu,mtapiga story mbili tatu,utamnunulia juice/ chakula mtalipia bolt + lodge/ hotel. Hawa ndiyo wana gharama kuliko wa kulipa aende zake.
 
kwani wenzetu mnatoa wapi pesa ambazo mnazipigia budget😆

Siku nikipata pesa,nitarudi kwenye huu uzi kucomment ila saivi ngoja nipite tu🚶‍♀️🚶‍♀️ maana sina mapato wala matumizi,,, mnipe kazi basi
Mambo vipi,
utaweza kuwa shamba geli?
 
namba 19 hiyo kiboko mkuu,ngumu mimi napoint sehemu kwa upande wangu ni changamoto bado una hoja nzuri mkuu ila kila hoja zinamfiti mtu kulinga na takwa la maisha na kipato chake, hiyo namba 19 ni challenge kwangu sababu kubwa ya kutafuta hela kwangu ni self care hiyo ndiyo namba moja influence kujijali then familia then wanyumbani then wenye uhitaji ,kwahiyo tafuta hela weka kipaumbele,ila kupendeza ni lazima haina mjadala
 
VIJANA WENGI HAWAJUI SIRI HII: NUSU YA KIPATO CHAKO NDIO KIWANGO CHA MATUMIZI YAKO HAYATAKIWI KUZIDI HAPO.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

1. Usijesema ooh! Mtibeli bahili. Ooh! Upare umekuharibu Mtibeli. Nope!

2. Hiyo ni siri za pesa ambayo hutaambiwa na watu wengi waliofanikiwa hasa waliotokea kwenyw background ya kipato cha chini.

3. Kupitia Boom ambalo kipindi kile tunapewa 510k nilikuwa nasevu 255k na kutumia 255k.

4. Yaani Kila pesa lazima nusu nigawe kwenye Akiba nusu nyingine tumia kwa matumizi Yangu binafsi.

5. Kama unapokea milioni moja. Tafsiri yake. Kipato cha matumizi yako ni 500k full stop.

6. Kupitia 255k mpaka namaliza niliweza kununua shamba heka tano. Kupitia 255k niliweza kununua vitu vyote ndani vinavyomtosha kijana wa miaka 20-35.
Kitanda, godoro, sofa, kabati, mapazia, Feni, TV, n.k.

7. Unapoweka nusu ya pato lako kama Akiba. Unajijengea Money Discipline. Na hiyo ni moja ya nguzo katika kuwa na pesa.

8. Kwa nini nusu ya pesa unatakiwa kuiweka Akiba.
9. Mbali na sababu za kanuni za pesa lakini kuna kanuni za kifalsafa ikiwemo:

10. Nusu ni kwaajili ya matumizi ya leo. Alafu Nusu nyingine ni kwaajili ya future yako.

11. Baada ya Akiba, tayari unamalengo ya biashara gani ufanye kulingana na jamii inayokuzunguka.

12. Akiba lazima uizalishe.
13. Hela inapoongezeka isifute kanuni ulizojiwekea kuipata pesa hiyo.

14. Nusu ya pato ambalo ni akiba lengo lake ni kuongeza channel nyingine ya kipato. Chanzo au vyanzo vingine vya kipato chako.

15. Na hata uanzishe vyanzo vingine. Nusu ya mapato katika vyanzo hivyo lazima uisevu kisha nusu nyingine uitumie kwa matumizi yako.

17. Kamwe usihonge kama vijana wajinga.
Iheshimu pesa nayo itakuheshimu.

18. Hiyo pesa unayotaka kuhonga iweke akiba au iingize kwenye mtaji.
Biashara itakuhehimisha lakini hao unaowahonga watakurudisha chini au kukupa matatizo.

19. Epuka kupenda kuvaa nguo za gharama. Kama kijana suruali tano na nguo za juu Saba zinakutosha kwa mwaka mzima. Ilimradi uwe msafi na mtanashati.

20. Kuwa na nguo nyingi haiongezi chochote na popote kwenye uchumi na maisha yako ya kawaida.

21. Hauna tofauti yoyote na Sisi ambao tunanguo chache lakini chochote ambacho utataka ukipate hata sisi tunakipata.

22. Sio lazima uwe na simu ya bei ghali. Au ununue simu Kila mwaka. Ilhali pato lako kwa mwezi halifiki milioni mbili.. ni kiashiria bado kiuchumi unahitaji elimu.

23. Epuka kulala hovyohovyo na wanawake.
Wanawake wengi ni mashimo ya takataka. Kwani wengi sio wasafi. Kwamba wapo na wanaume wengi.

24. Tafuta mwanamke mmoja mwaminifu, msafi, nazungumzia asiye Malaya. Ishi naye.

25. Kanuni ya Akiba ya half half inabebwa na kanuni nyingine ya fedha inayosema hakuna pesa ndogo.

26. Kanuni ya mwisho ni Ile isemayo, usiitoe pesa hapohapo pale ambapo imeingia. Iache ikae walau Siku mbili au tatu. Ikiwezekana wiki.

27. Sio pesa hata haijaingia ushaitumia yote. Nope! Umepokea pesa. Iweke. Kisha endelea na mambo mengine. Mpaka mihemko na kiherehere chako kitakapotulia.

28. Watu wasione tofauti ukiwa na hela na usipokuwa na hela. Yaani uwe normal

Kufikia hapo sina la ziada.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Mimi matumizi yangu ni 1 Million tu no matter what but 3/4 lazima iingie kwa investment for future.

But kwa watoto wa 2000 hii kanuni ni ngumu wao kuitumia kwa sababu ya vitoto vya kike na ulabu ambao hauna shukrani
 
Ukiweza kufanya hivyo hongera.

Kuna akina mimi ambao kipato kinaisha kabla hakijaingia mkononi na ukitulia ukipiga mahesabu unaona negative kama 500k hivi,hatari!

Unaposema tusihonge hizi huduma za kimwili ambazo ni haki ya kila mwanaume tutazitimizaje? Mbususu ni haki ya kila mwanaume, na ili uipate bila stress,mhonge huyo mtoto wa mtu ili hata ukiichakata msifuatiliane sababu ashachukua chake.

Ukitaka ule demu bila gharama basi utatumia muda mwingi kuwa romantic na mambo mengine huko.

Ungesema hata aslimia 5% basi ya kipato ndiyo tutunze tajiri.

Kwanza haya maisha kila mtu anaishi kwa mara ya kwanza hakuna mwenye uzoefu nayo
Mkuu izoo hapo juu zote zilikuwa umeandikaa porojo,
Point ni iyo hapoo chini umemaliza vizuri kabisa..
 
Back
Top Bottom