Upo sahihi sana na pia wanawake wana wabrain wash ili aonekane mwanaume bora basi anaambiwa lazima ahongeee kumbe hapo ndio wanampotezaMwathuuu hiyo vijana wa Sasa hawawez ni asilimia ndogo saaaana wanaoweza kufanya Ivo
Hii technology inawaaribu Kila kitakachotoka mtu anataka kununua Ili aonekane wa mjini hizo bajet atafanya lini