Vijana wengi hawajui siri hii: Nusu ya kipato chako ndio kiwango cha matumizi yako hayatakiwi kuzidi hapo

Vijana wengi hawajui siri hii: Nusu ya kipato chako ndio kiwango cha matumizi yako hayatakiwi kuzidi hapo

Huna bilioni 10 kwenye account sipokei ushauri
 
NAJITAHIDI SANA KUHUSU NIDHAMU YA FEDHA AISEEE ! YAANI NAANGALIA MIAKA 20 IJAYO NA SIO KUDANGANYWA NA VITOTO VYA 2000 ETI NIHONGEEE ! NIPO VERY FOCUSED!
Kuhonga hakuwezi kusababisha usifanikiwe katika maisha.
 
Back
Top Bottom