Vijana wengi wa kiume wamejiajiri kwenye boda, wa kike wamejiajiri kwenye nini?

πŸ˜€ Sasa wewe kwa mfano Ebitoke na nana_dollz wakija kukuuzia product yupi utanunua kwake? πŸ˜€ Hebu just imagine tu anakuja kukuuzia kitu complex kama gari utanunua la nani?

Umeona mbali sanaaa
 
πŸ˜€ Sasa wewe kwa mfano Ebitoke na nana_dollz wakija kukuuzia product yupi utanunua kwake? πŸ˜€ Hebu just imagine tu anakuja kukuuzia kitu complex kama gari utanunua la nani?
Ninunue kwa ebitoke nitapata faida gani mimi... hapo two in one nanunua gari na muuzaji
 
Hahahahahah bila shaka itakuwa ile biashara ya kuuza ubuyu wa babu Issa kwenye vipakti vya maua maua na vikopo vya glass vile 🀣🀣🀣 ukahisi zile buku buku ndio zinawalipa sio?
Sio hiyo, kuna nyingine wanafanya kumbe bidhaa ni two in one πŸ˜‚
 
Mdada ana duka la mpesa, akija jamaa kuweka 1m anamuachia 10k kama tip. Wakija watano kwa siku unadhani utashindana nae?

Fungua na wewe tigopesa yako next to her uone kama utasavaiv.
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ Utabak kusema tu ni mshirikina.mkuu hapa arusha nilishuhudia mtu anacha tip 200k after kuweka hela mpesa.Uyo demu sasa ni black beuty ana bonge la tako.
 
Sure mkuu, tena hizi tigopesa nk ziwewaweka wanawake wengi sana town na wana maisha safi tu. Wakati huo commission sio kubwa sana kwa sasa.

Ila kuna wanaume wanajua sana kuhonga. Nina washkaji yani kwa kweli kile ni kipaji.
 
Acha mzee watu wanaonga tip 200k kuweka hela tu.Ndo utajua kwel watu wana hela..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…