Vijana wenzangu tusiogope kuoa, ndoa tamu

Ndoa yako bado ina wiki 2bila shaka ndyo maana unaleta upuuz wako hapa!! tunakupa mda tu
 
Achane kukariri maisha bhana.Kwani unaishi nae au umekaa hapo kwako kwenye kiti unaamua kuandika unachokiamini ili kumkatisha tamaa jamaa mwenye uzi.Kueni na sikio la usikivu!!!!
Hamna ndoa ya hivyo bana weπŸ˜… ingekuwa hivyo kelele zisingefika mtandaoni humu! Ndoa kongwe zote zinapumulia mashine
 
Mwaka 2024 tukiwa hai inshallah uzi utasomeka "mwanamke amebadilika baada ya miaka miwili ya ndoa je nifanyaje"
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ni swala la muda tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…