Vikao vya CCM Ikulu vinakera

Oh, halafu nawasubiri wale mtaosema kwa nini hatukuhoji kipindi Magufuli anaendesha vikao vya CCM Ikulu….nawasubiri kwa hamu kubwa sana!
Ngoja tuwasubirie mkuu!
Kweli vikao vifanyikie Lumumba na Dodoma.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Haogopwi mtu. Hapendwi mtu.
Kisa mwanamke humwogopi? Huyo mungu wako uliempenda mbona kafa? Acha chuki kijana,unajidai unakosoa kisa mtawala sio mungu wako tena bali ni rais wa Tanzania. Ushachelewa kama kukosoa umekuja wakati mbaya sabab huna cha kukosoa.
 
Nafikiri enzi ya JK ulikuwa bado uko chekechea ndiyo maana hujui kuwa kuna Dr. Ulimboka aliokotwa Mabwepande! Hata awamu hii ukileta cha kuleta utaokotwa tu mkuu!!
 
Ili ungelisema kipindi kile cha dikteta magufuli
 
Nafikiri enzi ya JK ulikuwa bado uko chekechea ndiyo maana hujui kuwa kuna Dr. Ulimboka aliokotwa Mabwepande! Hata awamu hii ukileta cha kuleta utaokotwa tu mkuu!!
Uho uharamia alikuwa anaufanya dikteta kichaa,mama hawezi kufanya uho ujinga,mtu akivunja sheria atashughulikiwa kwa mujibu wa sheria za nchi, sio kutekana na kuwekana kwenye viroba
 
Uho uharamia alikuwa anaufanya dikteta kichaa,mama hawezi kufanya uho ujinga,mtu akivunja sheria atashughulikiwa kwa mujibu wa sheria za nchi, sio kutekana na kuwekana kwenye viroba
Tuliza tako ili sindano ikuingie vizuri mkuu!
 
Hili ni dogo sana ukilinganisha na uteuzi wa katibu mkuu wa CCM kuteuliwa na jiwe kuwa katibu mkuu Kiongozi.
 
Kwa hiyo unasema kuwa wakati Rais Magufuli anaendesha vikao vya CCM ikulu mimi nilimuunga mkono? Ndiyo au hapana?
Ulikaa kimya hukulipinga.ukiwa silent kipindi cha oppression unakua upande wa oppresser.we ni miongoni mwa watu wengi mliochotwa akili na mwendazake na akawa anatembea nazo mfukoni,leo hii yupo nazo udongoni sasa ndo unakuja hapa kupiga piga kelele.

The bad news is that mwendazake is gone and the good news is that he won't lead us again.

Acha ukabila na vitisho,aya tuna kuuliza why hukulisema hili kipindi cha mtukufu jiwe??
 
Yaani mtu anateka watu halafu mkosoaji anakaa kimya halafu ukosoaji unakuja eti vikao vya CCM.

Sasa suala la vikao vya CCM huko Ikulu vinasaidia vipi kuboresha maisha ya watu.

Yale yale ya Mwanakijiji na Dubwana lake la bibi na bwana.

Sometimes tunajishughulisha sana na vitu visivyo na maana yoyote.
 
Ni bora ufunge bakuli lako maana nakujua kama nimekuzaa yaani

Wewe nyaningabu ulikua mnufaika wa utawala wa mwendazake

Wewe na wenzio 49 kutoka kanda ya ziwa kutoka kabila lenu mlipewaga favor na serikali ya mwendazake hadi ukaja nchini kwa kuchaguliwa katika mpango wa siri wa kuwachomeka wasukuma 50 katika sekta nyeti na wewe jamaa kituo chako kilikua ni ifakara bora afunge bakuli lako tu tunajua kila kitu najua mnapambana ili mumuangushe mama samia ili mpachike mtu wa kabila lenu

Hii ni tz ya makabila 120 huo usukuma gang wenu ukafie chato
Oh, halafu nawasubiri wale mtaosema kwa nini hatukuhoji kipindi Magufuli anaendesha vikao vya CCM Ikulu….nawasubiri kwa hamu kubwa sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…