Fortilo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 5,807
- 17,416
Nikikumbuka utetezi wenu wa Hisia kwa Bwana Meko... now it's your turn bro...🤣🤣🤣
Chuki gani sasa hapo?
Time to have your dose...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikikumbuka utetezi wenu wa Hisia kwa Bwana Meko... now it's your turn bro...🤣🤣🤣
Chuki gani sasa hapo?
Ngoja tuwasubirie mkuu!Oh, halafu nawasubiri wale mtaosema kwa nini hatukuhoji kipindi Magufuli anaendesha vikao vya CCM Ikulu….nawasubiri kwa hamu kubwa sana!
Kisa mwanamke humwogopi? Huyo mungu wako uliempenda mbona kafa? Acha chuki kijana,unajidai unakosoa kisa mtawala sio mungu wako tena bali ni rais wa Tanzania. Ushachelewa kama kukosoa umekuja wakati mbaya sabab huna cha kukosoa.Haogopwi mtu. Hapendwi mtu.
Ooh kwa hiyo wasikuulize kwa nini huhoji.Sijui
Nafikiri enzi ya JK ulikuwa bado uko chekechea ndiyo maana hujui kuwa kuna Dr. Ulimboka aliokotwa Mabwepande! Hata awamu hii ukileta cha kuleta utaokotwa tu mkuu!!Afanye tu kikubwa tuwe na Amani, Hamna kutekana, kuuana, kupigana risasi, kupotezana kama enzi za Magufuli.
Enzi za JK tulikuwa na Amani, hela ilikuwepo hatukuwahi kusikia vyuma vimekaza hata kama alifanya hayo usiyoyataka.
Mama pia achia hela kitaa wewe uendelee na mambo yako
Ili ungelisema kipindi kile cha dikteta magufuliView attachment 1813436
Moja kati ya matamanio yangu ya muda mrefu sasa ni kuona vikao vya CCM kufanyika Ikulu vikikoma kabisa.
Sina uhakika sana huu mtindo ulianza lini lakini nakumbuka kipindi cha utawala wa Rais Kikwete, ulishamiri sana.
Ikulu ni mahali pa shughuli za kiserikali. Siyo mahala pa shughuli za chama cha kisiasa.
Itapendeza endapo huyu Rais wetu mpya hataendelea na huo mtindo.
Akiuendeleza, tutamkosoa tu. Haogopwi mtu. Hapendwi mtu.
Tanzania kwanza.
Uho uharamia alikuwa anaufanya dikteta kichaa,mama hawezi kufanya uho ujinga,mtu akivunja sheria atashughulikiwa kwa mujibu wa sheria za nchi, sio kutekana na kuwekana kwenye virobaNafikiri enzi ya JK ulikuwa bado uko chekechea ndiyo maana hujui kuwa kuna Dr. Ulimboka aliokotwa Mabwepande! Hata awamu hii ukileta cha kuleta utaokotwa tu mkuu!!
Tuliza tako ili sindano ikuingie vizuri mkuu!Uho uharamia alikuwa anaufanya dikteta kichaa,mama hawezi kufanya uho ujinga,mtu akivunja sheria atashughulikiwa kwa mujibu wa sheria za nchi, sio kutekana na kuwekana kwenye viroba
Naona unajistukia mwenyewe, we dogo bana!Oh, halafu nawasubiri wale mtaosema kwa nini hatukuhoji kipindi Magufuli anaendesha vikao vya CCM Ikulu….nawasubiri kwa hamu kubwa sana!
View attachment 1813436
Moja kati ya matamanio yangu ya muda mrefu sasa ni kuona vikao vya CCM kufanyika Ikulu vikikoma kabisa.
Sina uhakika sana huu mtindo ulianza lini lakini nakumbuka kipindi cha utawala wa Rais Kikwete, ulishamiri sana.
Ikulu ni mahali pa shughuli za kiserikali. Siyo mahala pa shughuli za chama cha kisiasa.
Itapendeza endapo huyu Rais wetu mpya hataendelea na huo mtindo.
Akiuendeleza, tutamkosoa tu. Haogopwi mtu. Hapendwi mtu.
Tanzania kwanza.
Lete Ushahidi Ili Tukuamini MkuuNikikumbuka utetezi wenu wa Hisia kwa Bwana Meko... now it's your turn bro...
Time to have your dose...
Sindano itawaingia nyinyi misukule ya dikteta magufuli,,Sasaivi hamna wakuwapa buku sabasabaTuliza tako ili sindano ikuingie vizuri mkuu!
Sisi hatutegemei buku tuna ng'ombe za kutosha mkuu!Sindano itawaingia nyinyi misukule ya dikteta magufuli,,Sasaivi hamna wakuwapa buku sabasaba
Ongeza na awamu ya 2 pia...Awamu ya 4 & 6 hizi ni even number na upepo unavyovuma tusishangae zikashahabiana kwa kila kitu.
Ulikaa kimya hukulipinga.ukiwa silent kipindi cha oppression unakua upande wa oppresser.we ni miongoni mwa watu wengi mliochotwa akili na mwendazake na akawa anatembea nazo mfukoni,leo hii yupo nazo udongoni sasa ndo unakuja hapa kupiga piga kelele.Kwa hiyo unasema kuwa wakati Rais Magufuli anaendesha vikao vya CCM ikulu mimi nilimuunga mkono? Ndiyo au hapana?
Wana bavicha wanavyompenda mama utavumilia matusi yao hapa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Chuki gani sasa hapo?
Yaani mtu anateka watu halafu mkosoaji anakaa kimya halafu ukosoaji unakuja eti vikao vya CCM.Afanye tu kikubwa tuwe na Amani, Hamna kutekana, kuuana, kupigana risasi, kupotezana kama enzi za Magufuli.
Enzi za JK tulikuwa na Amani, hela ilikuwepo hatukuwahi kusikia vyuma vimekaza hata kama alifanya hayo usiyoyataka.
Mama pia achia hela kitaa wewe uendelee na mambo yako
Oh, halafu nawasubiri wale mtaosema kwa nini hatukuhoji kipindi Magufuli anaendesha vikao vya CCM Ikulu….nawasubiri kwa hamu kubwa sana!