Ndio mkuu, alifanya na wenyeviti wa ccm wa mikoa kipindi ikulu ipo magogoni alivyoulizwa kwanini anafanyia vikao ikulu vya kichama akajibu ikulu ni mali ya watanzania hata cdm wakitaka nao waje kufanya atawapa ukumbiKwani naye aliendesha vikao vya CCM ikulu?