Vikosi vya Israel vinawashambulia kikatili Wakisto wa Orthodox huko Jerusalem kwa kupinga mauaji ya halaiki huko Gaza

Vikosi vya Israel vinawashambulia kikatili Wakisto wa Orthodox huko Jerusalem kwa kupinga mauaji ya halaiki huko Gaza

Naona mgalatia wa Kimara hataki kuamini…

mlipoanzisha uvamiz hamkujua kuw mtakula za uso , vumilien kipigo nsitake wengine waje saidia kupata maumiv
 
Hahaha wanapigwa Wakisto wenzako huko.
sisi wakristo ukiwa mpuuz huna nafas miongon mwetu tunakuelimisha ukikomaza shingo tunakutema sio kama nyie mnatetea ugaidi kisa dini moja
 
Ulokole ni ugonjwa wa akili na ndio maana mnaamini eti chumvi ya upako wa mwamposa inaweza kukufanya ukawa tajiri bila kufanya kazi.

Sasa unajipendeka kwa wayahudi hali ya kuwa hamna mahusiano yeyote ya kiimani? Basi nenda wakuoe.
sijaona jamaa akisema yeye ni mlokole
 
Israel destroys objects associated with Christianity in Gaza

The IDF not only bombs mosques, but also damages churches and other Christian institutions in the enclave. Thus, on November 1, Israel bombed an Orthodox cultural center in the Tel el-Hawa area in the Gaza Strip.

The consequences of the attacks were shown by military correspondent Said Sverki - the Orthodox center turned into ruins.
waislam mnatafuta huruma kwa kila jamii ss hv , mnavyotichinja mnaona ni sw ila tuumie kisa kitu chenye uhusiano na kanisa kimebomolewa
 
kwann mnaleta udini sana kwenye mambo ya kisiasa
Ukiangalia dunia nzima inataka haki kwa wapalestina including orthodox jews ila settlers wanatumia propaganda za biblia kuiba na kuleta siasa za kizayuni kandamizi kwa palestina , wakristo hasa wa tanzania wamekuwa wakisupport kil ujinga na ushenzi wa israel ila wazungu na orthodox jews wamekuwa wakililia haki kwa wapalestina , mfano orthodox jews wamekuwa wakiishi kwa upendo na wapalestina kabla ya siasa za kizayuni kuanza ndio maana hadi leo hawataki kumsikia netanyahu, hawa settlers walimuua hadi waziri mkuu wao kisa alikuwa anataka amani na wapalestina, wakristo watanzania wamekuwa brainwashed nalo ni tatizo la elimu they cant reason
 
Attachments

  • Screenshot_20231102-185516_Chrome.jpg
    Screenshot_20231102-185516_Chrome.jpg
    167.3 KB · Views: 1
Sasa mimi kutoka Bara la giza kumbe naweza jibizana na wewe pure mwarabu wa Oman au Yemen?
Mm muislam kutoka bara la giza ukiniuliza kwa nn najipendekeza kwa mwarabu nina hoja za kijetetea kwa kusema mm na waarabu ni ndugu zangu kwa sababu tunashea katika mambo mengi kuanzia ,dini, utaifa maana kuna wtz wenzangu ambao ni waarabu, tumeshea damu kwa sababu kuna waraabu kibao wameoa na kuolewa na watz wenzangu.

Sasa ww niambie ni kipi mnacho shea na myahudi kuanzia dini, kijamii,kitaifa mpaka mnajipendekeza kwao kiasi hicho ,tena kwenye suala la mahusiano ni mwiko kwa myahudi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtu mweusi.

Ni kuelimishe tu kuwa ww pamoja na ugaratia wako lakini una mambo mengi ya kukuunganisha na muarabu ,hali yakuwa hakuna hata kitu kimoja kinacho kuunganisha ww na myahudi, kuna malilioni ya waarabu ambao ni wakristo na watz wenzio, hali ya kuwa hakuna myahudi hata mmoja ambaye ni mrokole mwenzio.
 
mlipoanzisha uvamiz hamkujua kuw mtakula za uso , vumilien kipigo nsitake wengine waje saidia kupata maumiv
Ndio akili yako ilipoishia siyo kosa lako acha watu wenye akili duniani wataendelea kupambania haki , nyie wa taifa teule tunazijua akili zenu kama kondoo wa mwamposa tu
 
waislam mnatafuta huruma kwa kila jamii ss hv , mnavyotichinja mnaona ni sw ila tuumie kisa kitu chenye uhusiano na kanisa kimebomolewa
🚨JUST IN: HEZBOLLAH RELEASES FINAL TEASER BEFORE TOMORROW'S HIGHLY ANTICIPATED SPEECH ON WHETHER THEY WILL JOIN THE WAR

🚨This is the FIRST TIME Hezbollah release teasers for a speech, making this VERY CONCERNING

MY THOUGHTS:

  • Clashes escalating
  • Teasers
  • Various hints they will escalate
  • Iran and their proxies hinting of a surprise
  • Lebanese schools closing
  • Airport evacuation plans
  • Prime Minister preparing for war, and a last ditch effort to reach a peace deal
  • And most importantly, the leak we mentioned yesterday: Iran and Hezbollah warned the US that if the war doesn't pause tomorrow, Hezboollah is joining

THINGS DO NOT LOOK GOOD
 
Ni wakristu kanisa la Putin hilo Orthodox Google utamuona Yesu na Maria,View attachment 2801663

Zoom uone
Nafahamu orthodox Christians wapo russia , Ukraine , Greece , Romania , Bulgaria , Cyprus , na zamani walikuwa ni dini kuu Turkey .
Makao makuu ya zamani ya orthodox yalikuwa Constantinople ( Instabul ) walijenga kanisa kubwa sana linaitwa Hagia Sophia kutoka mwaka 360 likakamilika mwaka 537 likatumika Mpaka mwaka 1453 .
 
Attachments

  • AD6A845D-E8F6-4CD1-8F1D-D7ECC7145313.jpeg
    AD6A845D-E8F6-4CD1-8F1D-D7ECC7145313.jpeg
    73.3 KB · Views: 1
PREPARATION FOR HEZBOLLAH LEADER HASAN NASRALLAH’S SPEECH TOMORROW

Will they join the war
 
Attachments

  • twidown.mp4
    611.8 KB
Dini zote zililetwa.
Allah ni mungu wa kiarabu na anasikia lugha moja tu ya kiarabu.
Wewe ngozi nyeusi unayejifananisha na mwaarabu, bila kutumia lugha ya mwaarabu hakusikii. Hata bila kuvaa nguo za waarabo allah hakutaki.
Unatufunga kamba mzee baba, mbona huwa tunaona masheikh kwenye shughuli za kiserikali wanaomba dua kwa kiswahili? Au unataka kusema wewe unamjua sana huyo Mungu wa waarabu kuliko hao masheikh?
 
BAHRAIN HAS EXPELLED THEIR ISRAELI AMBASSADOR AND CUT OFF TIES WITH ISRAEL!
 
Orthodox jews wanatambua Palestina walikuepo Palestina hata kabla ya Zionist kuja Hapo, Wana Siasa zao kali nazo ila linapokuja state ya Israel huwa wanakua against nayo sababu inachafua Imani ya Kiyahudi. Wayahudi hawali Nguruwe, hawakubali Ushoga, hairuhusiwi kumfukuza mtu nyumba yake aliojenga etc, Kifupi wapo against Settlers wa Israel Na mambo yao.

Mana wapenda hao mana hao sio mayahudi au sio.
 
Mm muislam kutoka bara la giza ukiniuliza kwa nn najipendekeza kwa mwarabu nina hoja za kijetetea kwa kusema mm na waarabu ni ndugu zangu kwa sababu tunashea katika mambo mengi kuanzia ,dini, utaifa maana kuna wtz wenzangu ambao ni waarabu, tumeshea damu kwa sababu kuna waraabu kibao wameoa na kuolewa na watz wenzangu.

Sasa ww niambie ni kipi mnacho shea na myahudi kuanzia dini, kijamii,kitaifa mpaka mnajipendekeza kwao kiasi hicho ,tena kwenye suala la mahusiano ni mwiko kwa myahudi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtu mweusi.

Ni kuelimishe tu kuwa ww pamoja na ugaratia wako lakini una mambo mengi ya kukuunganisha na muarabu ,hali yakuwa hakuna hata kitu kimoja kinacho kuunganisha ww na myahudi, kuna malilioni ya waarabu ambao ni wakristo na watz wenzio, hali ya kuwa hakuna myahudi hata mmoja ambaye ni mrokole mwenzio.
[emoji23][emoji23][emoji23] doh! Nimefurahi jinsi ulivyotilia mkazo udugu wako naWaarabu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] doh! Nimefurahi jinsi ulivyotilia mkazo udugu wako naWaarabu.
Haya na ww tilia mkazo undugu wako na Wayahudi tukuone jeuri yako?[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].

Mwarabu ni ndugu yako kwa sababu waweza jikuta siku moja ana muowa binti yako ana kuwa mkweo kitu ambacho hakiwezi kutokea kwa myahudi.

Punguzeni shobo wayahudi hawana time na nyinyi.
 
Ulokole ni ugonjwa wa akili na ndio maana mnaamini eti chumvi ya upako wa mwamposa inaweza kukufanya ukawa tajiri bila kufanya kazi.

Sasa unajipendeka kwa wayahudi hali ya kuwa hamna mahusiano yeyote ya kiimani? Basi nenda wakuoe.

Ulishaona mlokole anajivika bomu na kulipua watu wasio na hatia kama wanavyofanya magaidi ya kiislam?
 
Back
Top Bottom