kiongozi gani wa boko haramu unamzungumzia abboubakhari shekau au?Marekani anawahofia sana ISIS kuliko mataliban,Hawa ISIS ndo walimuua kiongozi wa boko haramu-wana siasa kali mno,wakiachwa wanaweza kuwang'oa taliban
hata mimi hii kitu imenichekesha sana yani serikali iliyokuwa madarakani inafaidi kila aina utamu wa madaraka eti ndio imeingia porini tena kama waasiYaani serikali ndio imekuwa kama kikundi cha waasi yaaani 😂😂
... yaani hiyo ni pepo ya magaidi!Hiyo nchi haitakalika tena
Huu ni mchezo wa mebeberu, hivi inamaana serikali ya afghanistan haikuwa hata na vifaru?!!hata mimi hii kitu imenichekesha sana yani serikali iliyokuwa madarakani inafaidi kila aina utamu wa madaraka eti ndio imeingia porini tena kama waasi
Yes.kiongozi gani wa boko haramu unamzungumzia abboubakhari shekau au?
Huko mbona hapaeleweki asee.?
Kuna kundi lingine la waasi tofauti na Taleban?
Argument yako ni ipi sasa?Chanzo VOICE OF AMERICA 🤣🤣🤣🤣
Nilikuwa katika mshangao mkubwa, Marekani anaondoka! Nilijua tu atakuwa ameandaa vikundi vitakavyoleta usumbufu huko.On 20th August Opposition fighters loyal to Afghanistan's ousted government retake three northern districts from the Taliban just days after the Islamist group reestablished its control over most of the country.
The Taliban swept through Afghanistan, taking most of its 34 Afghan provincial capitals in about nine days. -VOA & Reuters
Makundi mbalimbali ya waasi pamoja na kikundi cha dola ya kiislamu vimefanikiwa kuteka miji mikubwa mitatu nchini Afganistan baada ya mapambano dhidi ya vikosi vya Talibani
Hawa watu wa muhammad ni watu wa ovyo sana
Argument yako ni ipi sasa?
Ndo maana narudia tena-Kuna vitu vingi sana bado huvifahamu kwenye hzo issues ambazo umezitaja.Uwezo wa ku-sustain War hauangaliwi upande mmoja kama wewe ulivyobase.Nitaongelea kwa uchache kwa mfano,Israel na kupewa misaada linapokuja suala la usalama wao inaweza isichukue maneno ya ushauri toka US, mfano Israel ilipokwenda kupiga kinu kule Iraq wakati wa Reagan ilikuwa in 80's, Reagan aliandika 'I believe Armageddon is near',
Israel ilichukua maamuzi pasipo kumshirikisha mfadhili wake US, kumbuka tunazungumzia usalama wa nchi ulivyo na priority kuliko chochote....
Rejea vita ya 2006 niliandika hapa Ni jinsi gani Hezbollah iliweza kushinda vita dhidi ya Israel? (2006)
Aliyekuwa nyuma ya mchezo wote huo ni Iran, ni moja ya sababu iliyopelekea Israel kummaliza Soleiman...
Hakuna nchi duniani inaweza kukimbia consequences za economic downturn, lakini tutarudi pale pale tu kwamba usalama kwanza... Central Asia, Russia ana ushawishi mkubwa mno Uzbekistan , Tajikistan , Kirghizistanna nchi zingine wanamkubali sana Russia, walimfurumusha US na hawataki hata kumsikia, walifunga na base zake hapo Asia ya kati... kwa ushawishi tu alionao Russia... IS haiwezi survive...
Soma post yangu hii post no #99
Russia hio vita ina maslahi makubwa sana kwake....
Huo ni mzozo wa mafuta na gas...
Nlishawahi kuandika chanzo cha hio vita na maslahi ya Russia kwenye hio vita Je, Iran inaweza kugeuza Aircraft Carrier za USA kuwa Shipwreck?
Piga ua, Russia itampa Assad back up mwanzo mwisho, kumtoa Assad ni kudhoofisha uchumi wa Russia kwa kuifanya Syria ipitishe mabomba ya gas toka Qatar...
Thanks....
Uko sahihi Mkuu,Mi nilidhani ni taliban na serikali ndo vina mvutano, yaani kuna ISIS tena. Kumbe ndio maana watu walikua wanaikimbia nchi yao walijua tu kitanuka.
Sada hao ISIS na taliban si wote waislam au wametofautiana kipi tena.
Na mataifa makubwa yanaitumia hiyo nchi kwenye mambo yao, china kwenye taarifa zao wanapasifu sana na kujaribu kuisafisha taliban kwa dunia. Na marekan na washirika wake ni kinyume wao wanaichafua na kuonesha hakuna amani, na hii habari lazma umeitoa huko kwa wana USA. Mchina na mmarekani wanafki sana aisee.
Alafu unajiona una akili huku unatumia Internet,hardware,software etc. za mzungu kuingia Jf,What a shame-Ni watu pekee wenye akili za kimwendazake mwendazake wanaweza kuwaza kama ww.Mzungu anakutambua wewe ni sokwe mkuu,,au hujui hilo mkuu, endelea tu kuwashobokea ipo siku watakulambisha matapishi yao.
Wanapropaganda hao, VOA na BBC wale wale,,,news zao co za kuamini.
Ungetumia neno "mzungu anatutambua sisi ni masokwe",maana hata wewe umo kwenye hili kundi letu la masokwe,tena wewe ndio mzee mwenye busara wa ukoo wetu wa masokweMzungu anakutambua wewe ni sokwe mkuu,,au hujui hilo mkuu, endelea tu kuwashobokea ipo siku watakulambisha matapishi yao.
Wanapropaganda hao, VOA na BBC wale wale,,,news zao co za kuamini.
Jamaa ana akili fupi sana ya kuwazua mambo,yaani anajielezwa yeye mwenyewe kupitia mwengine alafu anajiona tofauti. Ni sawa na kusema A=B=C alafu unasema A is not equal to C 🤣 🤣Ungetumia neno "mzungu anatutambua sisi ni masokwe",maana hata wewe umo kwenye hili kundi letu la masokwe,tena wewe ndio mzee mwenye busara wa ukoo wetu wa masokwe
Nahisi litakuwa ni sokwe halisi sema lina akili kidogo ya kibinadamu na,linamiliki smartphone,wanalisaidia kuunga bundle na kuliongoza kuingia JF.Jamaa ana akili fupi sana ya kuwazua mambo,yaani anajielezwa yeye mwenyewe kupitia mwengine alafu anajiona tofauti. Ni sawa na kusema A=B=C alafu unasema A is not equal to C 🤣 🤣
Alafu unajiona una akili huku unatumia Internet,hardware,software etc. za mzungu kuingia Jf,What a shame-Ni watu pekee wenye akili za kimwendazake mwendazake wanaweza kuwaza kama ww.
Jamaa ana akili fupi sana ya kuwazua mambo,yaani anajielezwa yeye mwenyewe kupitia mwengine alafu anajiona tofauti. Ni sawa na kusema A=B=C alafu unasema A is not equal to C 🤣 🤣
Argument yako inaonyesha una akili za kitotototo,Na ku-argue na mtoto ni ........Kwa sababu natumia vitu vyao ndio niwe upande wao, huu utakuwa unyambafu haswaa!!! Hii akili ya wapi mzee!!!!! Mzungu aliwateka akili black skin, others wanajitambua