Vikosi vya waasi vyakomboa miji mitatu mikubwa kutoka utawala wa Taliban

Vikosi vya waasi vyakomboa miji mitatu mikubwa kutoka utawala wa Taliban

Wanagombea nchi kuendeleza biashara ya opium hawa, hapata tulia makundi ni mengi yapo na yamejificha ktk mgongo wa kupigania dola la dini fulani
 
Ungetumia neno "mzungu anatutambua sisi ni masokwe",maana hata wewe umo kwenye hili kundi letu la masokwe,tena wewe ndio mzee mwenye busara wa ukoo wetu wa masokwe

Kumbe ushatambua na kukiri sasa kwamba black skin wanatambulikaje kwa wazungu eti 😁😁😁😁
 
Afghanistan Kwisha habari yake, China na Russia walikimbilia kuwatambua Taleban na US akasema mwaga ugali namwaga mboga, haya sasa kila warlord na kipande chake biashara ya silaha na opium ianze
 
Ndo maana narudia tena-Kuna vitu vingi sana bado huvifahamu kwenye hzo issues ambazo umezitaja.Uwezo wa ku-sustain War hauangaliwi upande mmoja kama wewe ulivyobase.Nitaongelea kwa uchache kwa mfano,
For instance, Iran Quds Commander,General Qasem Soleiman aliuawa na US kwa kushirikiana na Mossad ya Israel ambao walikuwa wanashirikiana na CIA kuweza kupata real time information na kuweza ku-execute plan yao.
Kila nchi ina haki ya ku-act alone pale inapoona usalama wa nchi yake upo threatened.Example-Israel imeshasema ipo radhi kuingia vitani na Iran ili kuwazuia kumiliki nucleur weapons,Swali ni Je,Israel ina hiyo prowess ya kupambana alone na Iran in terms of financial and military power ?the answer is no,kama jibu ni hapana-kwann wanataka kuishambulia Iran wakati wanajua hawawezi?-Unakuja kukuta Israel iko cover na Mutual defence treaty agreement na US ambayo Israel anajua fika kutokana na Bipartisan support ya Israel kwenye US congress,US naye atakuwa dragged kwenye vita aliyoianzisha Israel bila kupenda. The treat says-Israel ikishambuliwa na taifa lingine automatically watakuwa wame-invoke hiyo mutually defence treaty.Israel kabla ya kuishambulia Iran lazima aangalie political will ya US kwanza manake kuishambulia Iraq unprovoked inaweza kuwa nje ya scope ya hyo treaty.
Sikatai....
Lakini rudi kasome, hujui vitu vingi sana....
Kuanzia zile vita vya 1948, 1956, 1967 walishinda pasipo msaada wa US, six day war US alimsaidia nini Israel?
Bado hujanielewa mkuu... Israel kama kuna hatari kwenye usalama wao hawawezi subiri US awashauri...

Nimekupa mifano na kasome hizo vita vyote US ilimsaidia nini?

Sasa kama Israel inajitutumua kiasi hicho itakuwa Russia mshindi wa 2nd WW, eti awe hatarini kimaslahi na kiusalama kwa sababu za uchumi? you are not serious...
 
Nchi ishakuwa kama kidimbwi cha kambale, baba ndevu, mama ndevu, mtoto ndevu.
 
Hii dini ngumu Sana , na kimsingi waislamu tunaishi nao kinafik tuu Ila washikaji Wana roho moja miyeyusho kichizi ..!! Huwa wanatamani wawe wao tuu sema ndo hvyo
Uislamu siyo mgumu nawala haujamrisha kuishi naww kiuaduia chuki..hebu rejea maneno haya ya mtume aliposema...HAKUACHA JIBRIL KUNIHUSIA KUHUSU JIRAN MPAKA NIKADHANI ITAKUJA AMRI NIKIFA JIRAN ANILISI...

KAULI NYINGNE ....HAKUNA PEPO YAYULE AMBAYE JIRAN YAKE HAPATI AMANI KWA MAUDHI YAKE..

Siyo jiran wa kiislamu tu yoyote...!

Akaendelea kusema YULE AMBAYE ANAMUAMINI ALLAH NA SIKU YA MWISHO AMKRIMU JIRAN YAKE_MGENI WAKE....

NIISHIE HAPO

Na haifai kupigana na asiye muislamu kama yeye hakupigi vita......!!!

Mtume aliishi na mayahud,wakristo wakasilimu humo humo)KUTOKANA NA UKARIMU WAKE....!

MTUME ALIKUWA ANAWATUNZIA FEDHA WASIO MPAKA WAISLAMU NA WAKAMUITA MKWELI NA MWAMINIFU...!

TUSIBEBE PROLAGANDA BILA KUUJUA HUO UISLAMU
 
So US ameondoka lakini ameacha jamaa wa kushughulika na Taliban!!!?
USA +ISL wanapambana na Taliban, USA walisimika ISL uko Iraq na Syria ,leo wanataka kuwasimika Afghanistan wapambane na Taliban
 
Muhamad alianzisha ideology ya Kikundi cha Taliban
mtu wa kwanza kupinga ideologies za watu aina ya taleban ni muhammad na usichokijua hukmu yao ni kuuwawa na mtawala wakianza kudhihiri na hawajapata kufaulu kamwe, hata hao taleban wakati wao utafika watafeli tu ..
 
Abu Ghalib reported: Abu Umamah, may Allah be pleased with him, said, “The khawarij are the worst of those slain under the heavens, and the best of those slain are those who were killed by them. They are the dogs of Hellfire. They were Muslims and then became unbelievers.” I said, “O Abu Umamah, is this something you say?” Abu Umamah said, “No, rather I heard it from the Messenger of Allah, peace and blessings be upon him.”

Source: Sunan Ibn Mājah 176
 
On 20th August Opposition fighters loyal to Afghanistan's ousted government retake three northern districts from the Taliban just days after the Islamist group reestablished its control over most of the country.

The Taliban swept through Afghanistan, taking most of its 34 Afghan provincial capitals in about nine days. -VOA & Reuters

Makundi mbalimbali ya waasi pamoja na kikundi cha dola ya kiislamu vimefanikiwa kuteka miji mikubwa mitatu nchini Afganistan baada ya mapambano dhidi ya vikosi vya Talibani

Hivi inaingia akilini kwamba mnaweza kuamini habari zinazo tolewa na highly questionable source kama VOA na Reuters ambazo kazi yake kubwa ni kutumia vyombo vyao vya habari kupigia debe na propaganda USA na Uingereza, mataifa ambayo majeshi yao ya uvamizi yametolewa mkuku na kuaibishwa na wapiganaji wa Kitalibani - after 20 years chasing shadows in Afghanistan.

Watasema lolote under the sun wakiwa na lengo la kutaka kuonyesha Dunia kwamba Wataliban hawana uwezo wa kuongoza Afghanistan au hawakubariki nchini mwao - VOA na Reuters ni wanafiki kweli kweli.
 
Abu Ghalib reported: Abu Umamah, may Allah be pleased with him, said, “The khawarij are the worst of those slain under the heavens, and the best of those slain are those who were killed by them. They are the dogs of Hellfire. They were Muslims and then became unbelievers.” I said, “O Abu Umamah, is this something you say?” Abu Umamah said, “No, rather I heard it from the Messenger of Allah, peace and blessings be upon him.”

Source: Sunan Ibn Mājah 176

Tukiachana Na kubishana kama Taliban Ni khawarij au sio
Kwanza tudiscuss Hao Khawarij wamekuja baada ya Muhammad kufa...yaani walimpinga Caliphate wa nne Ali.
Sasa Muhamad Tena itakuwaje aliwaongelea?
Umeona jinsi huyo Abu Umama alivokuwa muongo?
Yani Ni Sawa Na Mimi niseme nilimsikia Nyerere anasema "Simpendi kigogo wa Twitter Na alaaniwe"
 
hapana khaarijiyy wa kwanza ni dhil-khuwaysirr ambaye alimwambia mtume "fanya uadilifu! hakika wewe hujafanya uadilifu" ndio mtume akaeleza kwamba kitatoka katika kizazi cha huyo mtu watu ambao wanasoma quran wala haivuki shingo zao ambao ndio makhawaarij wenyewe mpaka mwisho wa maneno yake alayhi ssalaam..
 
Abu Ghalib reported: Abu Umamah, may Allah be pleased with him, said, “The khawarij are the worst of those slain under the heavens, and the best of those slain are those who were killed by them. They are the dogs of Hellfire. They were Muslims and then became unbelievers.” I said, “O Abu Umamah, is this something you say?” Abu Umamah said, “No, rather I heard it from the Messenger of Allah, peace and blessings be upon him.”

Source: Sunan Ibn Mājah 176
Okay tuwe wakweli Sasa.
Assume hii scenario:

Kuna jamaa huko Afghanistan, beki3(mtumwa) wake wa kike alikuwa anamtukana muhamad,Yule jamaa akamuonya lakin beki3 hasikii basi jamaa akakasirika akamchinja huyo beki3 kama mnyama.
Kesi ikamfikia kiongozi Kuwa jamaa kaua kwasababu hiyo.

Sasa Wewe in your humble opinion
Naomba ujibu haya maswali

1)kiongozi wa Taliban angemfanyaje huyo jmaa
2) Muhamad angemfanyaje

Chagua majibu hapa
A.angemuua B.angemfunga C. Angemsifu Sana D.Angemuacha Hana hatia

Mfano.
1.A
2.B
 
hapana khaarijiyy wa kwanza ni dhil-khuwaysirr ambaye alimwambia mtume "fanya uadilifu! hakika wewe hujafanya uadilifu" ndio mtume akaeleza kwamba kitatoka katika kizazi cha huyo mtu watu ambao wanasoma quran wala haivuki shingo zao ambao ndio makhawaarij wenyewe mpaka mwisho wa maneno yake alayhi ssalaam..
Weka source sio ngano..wapi muhamad aliwahi hata kutamka usingizini neno 'khawarij'
 
Back
Top Bottom