Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hyo opium ni nn?Wanagombea nchi kuendeleza biashara ya opium hawa, hapata tulia makundi ni mengi yapo na yamejificha ktk mgongo wa kupigania dola la dini fulani
Argument yako inaonyesha una akili za kitotototo,Na ku-argue na mtoto ni ........
Ungetumia neno "mzungu anatutambua sisi ni masokwe",maana hata wewe umo kwenye hili kundi letu la masokwe,tena wewe ndio mzee mwenye busara wa ukoo wetu wa masokwe
Sikatai....Ndo maana narudia tena-Kuna vitu vingi sana bado huvifahamu kwenye hzo issues ambazo umezitaja.Uwezo wa ku-sustain War hauangaliwi upande mmoja kama wewe ulivyobase.Nitaongelea kwa uchache kwa mfano,
For instance, Iran Quds Commander,General Qasem Soleiman aliuawa na US kwa kushirikiana na Mossad ya Israel ambao walikuwa wanashirikiana na CIA kuweza kupata real time information na kuweza ku-execute plan yao.
Kila nchi ina haki ya ku-act alone pale inapoona usalama wa nchi yake upo threatened.Example-Israel imeshasema ipo radhi kuingia vitani na Iran ili kuwazuia kumiliki nucleur weapons,Swali ni Je,Israel ina hiyo prowess ya kupambana alone na Iran in terms of financial and military power ?the answer is no,kama jibu ni hapana-kwann wanataka kuishambulia Iran wakati wanajua hawawezi?-Unakuja kukuta Israel iko cover na Mutual defence treaty agreement na US ambayo Israel anajua fika kutokana na Bipartisan support ya Israel kwenye US congress,US naye atakuwa dragged kwenye vita aliyoianzisha Israel bila kupenda. The treat says-Israel ikishambuliwa na taifa lingine automatically watakuwa wame-invoke hiyo mutually defence treaty.Israel kabla ya kuishambulia Iran lazima aangalie political will ya US kwanza manake kuishambulia Iraq unprovoked inaweza kuwa nje ya scope ya hyo treaty.
Uislamu siyo mgumu nawala haujamrisha kuishi naww kiuaduia chuki..hebu rejea maneno haya ya mtume aliposema...HAKUACHA JIBRIL KUNIHUSIA KUHUSU JIRAN MPAKA NIKADHANI ITAKUJA AMRI NIKIFA JIRAN ANILISI...Hii dini ngumu Sana , na kimsingi waislamu tunaishi nao kinafik tuu Ila washikaji Wana roho moja miyeyusho kichizi ..!! Huwa wanatamani wawe wao tuu sema ndo hvyo
USA +ISL wanapambana na Taliban, USA walisimika ISL uko Iraq na Syria ,leo wanataka kuwasimika Afghanistan wapambane na TalibanSo US ameondoka lakini ameacha jamaa wa kushughulika na Taliban!!!?
sasa muhammad ndo ameanzisha kikundi cha taleban!?.....Bila muhamad Hawa watu wangekuwepo?
Muhamad alianzisha ideology ya Kikundi cha Talibansasa muhammad ndo ameanzisha kikundi cha taleban!?.....
mtu wa kwanza kupinga ideologies za watu aina ya taleban ni muhammad na usichokijua hukmu yao ni kuuwawa na mtawala wakianza kudhihiri na hawajapata kufaulu kamwe, hata hao taleban wakati wao utafika watafeli tu ..Muhamad alianzisha ideology ya Kikundi cha Taliban
Source?mtu wa kwanza kupinga ideologies za watu aina ya taleban ni muhammad na usichokijua hukmu yao ni kuuwawa na mtawala wakianza kudhihiri na hawajapata kufaulu kamwe, hata hao taleban wakati wao utafika watafeli tu ..
Abu Ghalib reported: Abu Umamah, may Allah be pleased with him, said, “The khawarij are the worst of those slain under the heavens, and the best of those slain are those who were killed by them. They are the dogs of Hellfire. They were Muslims and then became unbelievers.” I said, “O Abu Umamah, is this something you say?” Abu Umamah said, “No, rather I heard it from the Messenger of Allah, peace and blessings be upon him.”Source?
On 20th August Opposition fighters loyal to Afghanistan's ousted government retake three northern districts from the Taliban just days after the Islamist group reestablished its control over most of the country.
The Taliban swept through Afghanistan, taking most of its 34 Afghan provincial capitals in about nine days. -VOA & Reuters
Makundi mbalimbali ya waasi pamoja na kikundi cha dola ya kiislamu vimefanikiwa kuteka miji mikubwa mitatu nchini Afganistan baada ya mapambano dhidi ya vikosi vya Talibani
Abu Ghalib reported: Abu Umamah, may Allah be pleased with him, said, “The khawarij are the worst of those slain under the heavens, and the best of those slain are those who were killed by them. They are the dogs of Hellfire. They were Muslims and then became unbelievers.” I said, “O Abu Umamah, is this something you say?” Abu Umamah said, “No, rather I heard it from the Messenger of Allah, peace and blessings be upon him.”
Source: Sunan Ibn Mājah 176
hapana khaarijiyy wa kwanza ni dhil-khuwaysirr ambaye alimwambia mtume "fanya uadilifu! hakika wewe hujafanya uadilifu" ndio mtume akaeleza kwamba kitatoka katika kizazi cha huyo mtu watu ambao wanasoma quran wala haivuki shingo zao ambao ndio makhawaarij wenyewe mpaka mwisho wa maneno yake alayhi ssalaam..Tukiachana Na kubishana kama Taliban Ni khawarij au sio
Kwanza tudiscuss Hao Khawarij wamekuja baada ya Muhammad kufa...yaani walimpinga Caliphate wa nne Ali.
Sasa Muhamad Tena itakuwaje aliwaongelea?
Umeona jinsi huyo Abu Umama alivokuwa muongo?
Yani Ni Sawa Na Mimi niseme nilimsikia Nyerere anasema "Simpendi kigogo wa Twitter Na alaaniwe"
Okay tuwe wakweli Sasa.Abu Ghalib reported: Abu Umamah, may Allah be pleased with him, said, “The khawarij are the worst of those slain under the heavens, and the best of those slain are those who were killed by them. They are the dogs of Hellfire. They were Muslims and then became unbelievers.” I said, “O Abu Umamah, is this something you say?” Abu Umamah said, “No, rather I heard it from the Messenger of Allah, peace and blessings be upon him.”
Source: Sunan Ibn Mājah 176
Weka source sio ngano..wapi muhamad aliwahi hata kutamka usingizini neno 'khawarij'hapana khaarijiyy wa kwanza ni dhil-khuwaysirr ambaye alimwambia mtume "fanya uadilifu! hakika wewe hujafanya uadilifu" ndio mtume akaeleza kwamba kitatoka katika kizazi cha huyo mtu watu ambao wanasoma quran wala haivuki shingo zao ambao ndio makhawaarij wenyewe mpaka mwisho wa maneno yake alayhi ssalaam..