Viongozi Mashuhuri watakaomzika Queen Elizabeth II

Umenena Mkuu.
 
Kenya na Rwanda kuna saa wanajiona washakuwa wazungu...

Hizi nchi mbili na wananchi wao wamekuwa na dharau sana miaka ya hivi karibuni.. Ndo wanasababisha EAC inakuwa na mambo ya ajabu ajabu.
Badala ya kuwaonea wivu, isimamie na wewe nchi yako ifanye maendeleo kama yao
 
Hivi hawa wa Ulaya ni nani alikuja wakati wa kifo cha JPM na Mkapa?
 
Hivi hawa wa Ulaya ni nani alikuja wakati wa kifo cha JPM na Mkapa?
Misiba ya wenzetu, tena siyo tu viongozi wa nchi au watu maarufu huwa mtu huendi tu eti kwa sababu ni msiba kama huku kwetu ukisikia kuna msiba mahali unaenda. Wenzetu kama hujaalikwa kwenye msiba huendi!!! Sasa huo wa viongozi wa juu ndiyo kabisaaa!!! Hujaalikwa hakuna kwenda.

Hivyo kama Tanzania haikuwaalika hawawezi kuja na kama iliwaalika wanaweza kutuma mabalozi wao tu kuwawakilisha kwenye msiba.
 
Pamoja na kuweka simu Tano za maombolezo Bado hatutakwenda kushiriki mazishi
 
Huyu mjingajinga wetu hawawezi mwalika huyu akazanage kuhudhuria misiba ya vijana wake wa kitengo Cha chawa wasiojulikana, kama TISS, PCCB, CAG nk, kuapishwa Ruto tu Kenya wamemtosa SSH na bado
 
Job Ndugai hajaalikwa?huu sasa ubaguzi live!😁😁
 

5.Kansela wa ujeruman ni Angela Machel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…