imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Umenena Mkuu.Kwa wakenya wana haki ya kujiona hivyo, kwani ni mambo mengi wanafanya kama wazungu(AKILI KUBWAZ)ambayo kwa wafrika wengi hatuyawezi!!ndio maana hata rais wao anakuwa simple tu kwa wananchi wake, tofauti na nchi zote za kiafrika!!mwananchi yupo huru kuikosoa serikali , kwani anajua katiba ina mlinda, na mahakama ipo huru.ki ukweli KENYA ipo level nyingine kabisa na mi nchi yote ya kiafrika.Na hicho ndicho kinapelekea TZ, kuwaogopa sana kwenye EAC, japo uoga huo hauwezi kutusaidia sana.