Viongozi Mashuhuri watakaomzika Queen Elizabeth II

Kenya na Rwanda kuna saa wanajiona washakuwa wazungu...

Hizi nchi mbili na wananchi wao wamekuwa na dharau sana miaka ya hivi karibuni.. Ndo wanasababisha EAC inakuwa na mambo ya ajabu ajabu.

Nchi zenye mfumo wa kibepari [emoji3062]
 
Kenya na Rwanda kuna saa wanajiona washakuwa wazungu...

Hizi nchi mbili na wananchi wao wamekuwa na dharau sana miaka ya hivi karibuni.. Ndo wanasababisha EAC inakuwa na mambo ya ajabu ajabu.
Wameigomea Tz ukiona hivyo wanajielewa
 
Kenya na Rwanda kuna saa wanajiona washakuwa wazungu...

Hizi nchi mbili na wananchi wao wamekuwa na dharau sana miaka ya hivi karibuni.. Ndo wanasababisha EAC inakuwa na mambo ya ajabu ajabu.
Kwani vipi mkuu?
 
Hii orodha ni feki ikiwa mzee wa Msoga hayupo ktk list
 
Kwa hiyo baada ya kifo chake, mwili wake umegeuka kuwa ni mzoga tu kama mizoga mingine.
Utajiri na umaarufu ni ubatili mtupu, matajiri na watu maarufu wanakufa kama anavyo kufa matonya na chakubanga, wote huyarudia mavumbi wakiwa hawana lolote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…