Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,078
- 5,882
Hapo vip!
Naona siku upepo wa siasa ukibadilika naona hiki kitimu cha yanga ikishuka daraja kabisa kwasababu viongozi na mashabiki wao wanaibadilisha timu kuwa kama chama cha siasa kwa ujinga,kutokujitambua na kuto kuona mbele.
Hii timu imekuwa inatafuta ukubwa usio stahili kwa kupitia mgogongo wa wanasiasa na ukiangalia kitaalam haina ubora na ukubwa huo.
Juzi nimemsikia wasira akianza kuzungumzia mambo ya mpira kwenye jukwaa la siasa,akisema timu iliyokataa kuja uwanjani eti imeogopa...amesahau ndani ya chama chake kuna wanachama wengi ambao ni mashabiki wa Simba,amesahau ya kwamba Simba inawanacha wengi kuliko ya yanga kuhalisia na sio kisiasa..nikutojitambua tu.
Kuwa kiongozi mtu unatakiwa uwe na akili nyingi sana ili uweze kujua unaongea nini kwa sababu gani?kwa wakati gani?kwa akina nani?na kwa sehemu gani?
Naona future ya yanga mbeleni ikiwa sio nzuri na hii inaweza chukua hata miaka mingi 10,20 na kundelea ila kwa sasa hamtaliona..wameshindwa kuwa neutral kwenye mambo yao kama Simba...tufahamu yakwamba ndani ya serikali hii kunaviongozi wengi wakubwa ambao ni Simba lialia na ni wengi sana ila hausikii wakitumia mamlaka yao kuitetea Simba kwasababu wanajitambua na wanajua madhara ya siasa kwenye mpira.
Hii tabia haiwezi kuisaidia yanga kuwa bora bali wanajitengenezea kitanzi ya kuja kuwamaliza kisoka..
NB.siasa na mpira ni maadui wakubwa.