Viongozi na mashabiki wa yanga nashauri acheni kulazimisha hiki timu chenu na siasa na wanasiasa

Fans engagement haitokani na followers. Hii hapa ni ushahidi tosha. Mimi nimetolea mfano nimezifollow Azam FC, Mashujaa sikumbuki na timu timu gani nyingine. Utasema mimi ni shabiki yao?
Hata kichaaa anapata viewers wengi..hata leo wewe ukitembea uchi unapata viewers wengi ila haimanishi wanakupenda no,mtu anapita tu kukuchora ila mpaka mtu akufollower maana yake anakupenda na anakukubali...alafu hizi takwimu ni za kujiandikia tu hazina uwalisia wowote,hususani viewers wa online TV.

Kiuhalisia yanga hanawashabiki wengi kuizidi Simba,kufikiq nyewe nusu ya washabiki wa Simba ni bahati.
 
Naona sasa unabishana kutafuta ushindani. Huku mimi sipo ila kama utakuja na walau facts za kueleweka kama nilivyokuwekea hapo tutazungumza. Am out

Mwezi February
 
Attachments

  • Screenshot_20250323_082642_Instagram.jpg
    Screenshot_20250323_082642_Instagram.jpg
    87.4 KB · Views: 18
Back
Top Bottom