Viongozi na mashabiki wa yanga nashauri acheni kulazimisha hiki timu chenu na siasa na wanasiasa

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
3,078
Reaction score
5,882
Hapo vip!
Naona siku upepo wa siasa ukibadilika naona hiki kitimu cha yanga ikishuka daraja kabisa kwasababu viongozi na mashabiki wao wanaibadilisha timu kuwa kama chama cha siasa kwa ujinga,kutokujitambua na kuto kuona mbele.

Hii timu imekuwa inatafuta ukubwa usio stahili kwa kupitia mgogongo wa wanasiasa na ukiangalia kitaalam haina ubora na ukubwa huo.

Juzi nimemsikia wasira akianza kuzungumzia mambo ya mpira kwenye jukwaa la siasa,akisema timu iliyokataa kuja uwanjani eti imeogopa...amesahau ndani ya chama chake kuna wanachama wengi ambao ni mashabiki wa Simba,amesahau ya kwamba Simba inawanacha wengi kuliko ya yanga kuhalisia na sio kisiasa..nikutojitambua tu.

Kuwa kiongozi mtu unatakiwa uwe na akili nyingi sana ili uweze kujua unaongea nini kwa sababu gani?kwa wakati gani?kwa akina nani?na kwa sehemu gani?

Naona future ya yanga mbeleni ikiwa sio nzuri na hii inaweza chukua hata miaka mingi 10,20 na kundelea ila kwa sasa hamtaliona..wameshindwa kuwa neutral kwenye mambo yao kama Simba...tufahamu yakwamba ndani ya serikali hii kunaviongozi wengi wakubwa ambao ni Simba lialia na ni wengi sana ila hausikii wakitumia mamlaka yao kuitetea Simba kwasababu wanajitambua na wanajua madhara ya siasa kwenye mpira.

Hii tabia haiwezi kuisaidia yanga kuwa bora bali wanajitengenezea kitanzi ya kuja kuwamaliza kisoka..
NB.siasa na mpira ni maadui wakubwa.
 
amesahau ya kwamba Simba inawanacha wengi kuliko ya yanga
Hizi takwimu huwa mnazitoa wapi kujifariji makolo. Kila mara inapotolewa takwimu za mashabiki kati ya hizi timu mbili Yanga huwa imewaacha mbali sana Simba. Sijui kwa nini huwa hamtakagi kukubali na mnaendelea kudanganya makolo wenzenu au sera aliyowalisha Mangungu kutokukubali hata iletwe takwimu gani.
 
Kwa uchunguzi mrahisi tu tembelea fallowers kwenye mitandao,hauwezi ukasema unawashabiki wengi huku kwenye mitandao inaonyesha unawachache,technolagia hadanganyi..hizo takwimu za yanga ni za kisiasa ila sio halisia ni uwongo mtupu
 
Ndio maana nasema mmekaririshwa ubishi. Sasa hivi unasema za kisiasa halafu unanambia nitembelee mitandao ya kijamii. Na wakati takwimu zinatoka huko huko ambazo zinaonesha Yanga anakusigina.
 
Ndio maana nasema mmekaririshwa ubishi. Sasa hivi unasema za kisiasa halafu unanambia nitembelee mitandao ya kijamii. Na wakati takwimu zinatoka huko huko ambazo zinaonesha Yanga anakusigina.
Yanga acheni sisa kwenye mpira..
 
Yanpa ina wanachama wengi kuliko simba waliojiandikisha ila simba ina mashabiki wengi kuliko yanga kwa afrika simba ni ya 5 nyuma ya al ahly,zamalek,kaizer na raja casablanca
 
Ndio maana nasema mmekaririshwa ubishi. Sasa hivi unasema za kisiasa halafu unanambia nitembelee mitandao ya kijamii. Na wakati takwimu zinatoka huko huko ambazo zinaonesha Yanga anakusigina.
Leta hizo takwimu zinazoonesha simba kazidiwa followers kwenye hiyo mitandao ya kijamii.
 
Hatuangalii followers mdogo wetu tunaangalia fan engagement. Kama ni follower nikwambie mimi nimezifollow pafes za Yanga, Azam, Mashujaa hata huyo Mo Dewji nimemfollow.
Followers ndio idadi ya mashabiki ukiwa na followers wengi means una mashabiki wengi fans engagement inatokana na idadi ya followers leta data zinazo onesha simba kazidiwa fans engagement na yanga
 
Followers ndio idadi ya mashabiki ukiwa na followers wengi means una mashabiki wengi fans engagement inatokana na idadi ya followers leta data zinazo onesha simba kazidiwa fans engagement na yanga
Fans engagement haitokani na followers. Hii hapa ni ushahidi tosha. Mimi nimetolea mfano nimezifollow Azam FC, Mashujaa sikumbuki na timu timu gani nyingine. Utasema mimi ni shabiki yao?
 
Attachments

  • Screenshot_20250323_080659_Instagram.jpg
    133.5 KB · Views: 37
Wako tayari kushushwa daraja hata mimi nawaunga mkono ili kujenga taasisi ya mpira ambayo ita endeshwa kwa mujibu wa sheria na siyo kutumia busara

Soma kuhusu Murphy's law, itakusaidia jinsi ya kujipanga kukabiliana na majanga, (crisis management)

Kwakifupi changamoto nyingi ambazo binadamu hukabiliana nazo husababishwa na binadamu

Binadamu anaweza jisabibishia changamoto kwa ujinga, ushamba, wivu, upumbavu, ulev,i uoga, uzembe, uvivu, ugonjwa,

Binadamu huyo huyo huwasabishia wengine changamoto kwa makusudi ama kwa bahati mbaya
 
Jinsi viongozi na wafadhli wa yanga wanavyochekewa kuna siku watakuwa M.23 na hamtawafanya chochote.
Tupo hapa leo ila hii tabia ya wanasiasa kuwavimbisha hawa watu,wenye akili tumeshanusa hatari huko mbele
 
Yanga tumesema hatuchezi mechi.... The only way to go tena kwakupigiwa magoti ni Bodi ya ligi kuondoka basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…