Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,078
- 5,882
- Thread starter
-
- #21
Hapa umeona umeongee point..?Jifunze kwanza kuandika lugha ya Kiswahili fasaha kisha rejea kuandika tena porojo zako.
Hata kichaaa anapata viewers wengi..hata leo wewe ukitembea uchi unapata viewers wengi ila haimanishi wanakupenda no,mtu anapita tu kukuchora ila mpaka mtu akufollower maana yake anakupenda na anakukubali...alafu hizi takwimu ni za kujiandikia tu hazina uwalisia wowote,hususani viewers wa online TV.Fans engagement haitokani na followers. Hii hapa ni ushahidi tosha. Mimi nimetolea mfano nimezifollow Azam FC, Mashujaa sikumbuki na timu timu gani nyingine. Utasema mimi ni shabiki yao?
Halafu oo Simba ameandika barua tu halafu kakaa kimya.mechi mlikimbia wenyewe inakuwa vipi mnaanza kulia lia
😀😀😀mkubwa huwa haongei mara mbiliHalafu oo Simba ameandika barua tu halafu kakaa kimya.
Kumbe threads zaidi ya 50 kwa siku zinazomwaga uharo.
Naona sasa unabishana kutafuta ushindani. Huku mimi sipo ila kama utakuja na walau facts za kueleweka kama nilivyokuwekea hapo tutazungumza. Am outHata kichaaa anapata viewers wengi..hata leo wewe ukitembea uchi unapata viewers wengi ila haimanishi wanakupenda no,mtu anapita tu kukuchora ila mpaka mtu akufollower maana yake anakupenda na anakukubali...alafu hizi takwimu ni za kujiandikia tu hazina uwalisia wowote,hususani viewers wa online TV.
Kiuhalisia yanga hanawashabiki wengi kuizidi Simba,kufikiq nyewe nusu ya washabiki wa Simba ni bahati.