"Viongozi wa Afrika wanahitaji kutupatia ushahidi wa kile wamekuwa wakifanya katika zaidi ya dola bilioni 13 wanazopokea kutoka Marekani kila mwaka au warudishe fedha hizo." β Elon Musk
Aione waziri wa hazina wa serikali ya Mapinduzi ya CCM.
Wameanza watu wa Marekani, na watu wa Umoja wa Ulaya EU nao wataigiza kupatikane uwazi wa misaada yao
Pia nazo Nchi moja moja wahisani / wafadhili wakubwa wa maendeleo ya Tanzania nao watadai uwazi.
TOKA MAKTABA :
22 September 2024
Na Benny Mwaipaja, Madrid, Spain
Hispania kupitia Wakala wake wa Bima (Export Credit Agency - ECA), imeonesha nia ya kushiriki katika mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kwa kutoa mikopo, dhamana ya mikopo na Bima kwa kampuni za nchi hiyo zitakazojenga reli hiyo kuanzia Makutopora hadi Mwanza na Kipande cha kuanzia Tabora - Kigoma hadi Malagarasi, kutokana na umuhimu wa mradi huo kwa maendeleo ya nchi...
View: https://m.youtube.com/watch?v=dvsHeMnGbnw