Viongozi wa Afrika watakiwa kutoa ushahidi wa pesa za misaada

"Viongozi wa Afrika wanahitaji kutupatia ushahidi wa kile wamekuwa wakifanya katika zaidi ya dola bilioni 13 wanazopokea kutoka Marekani kila mwaka au warudishe fedha hizo." — Elon Musk

Aione waziri wa hazina wa serikali ya Mapinduzi ya CCM.

Wameanza watu wa Marekani, na watu wa Umoja wa Ulaya EU nao wataigiza kupatikane uwazi wa misaada yao

Pia nazo Nchi moja moja wahisani / wafadhili wakubwa wa maendeleo ya Tanzania nao watadai uwazi.

TOKA MAKTABA :

22 September 2024
Na Benny Mwaipaja, Madrid, Spain

Hispania kupitia Wakala wake wa Bima (Export Credit Agency - ECA), imeonesha nia ya kushiriki katika mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kwa kutoa mikopo, dhamana ya mikopo na Bima kwa kampuni za nchi hiyo zitakazojenga reli hiyo kuanzia Makutopora hadi Mwanza na Kipande cha kuanzia Tabora - Kigoma hadi Malagarasi, kutokana na umuhimu wa mradi huo kwa maendeleo ya nchi...

View: https://m.youtube.com/watch?v=dvsHeMnGbnw
 
Mkuu lakini mbona imekaa vizuri tuu, kwan serikali zikitoa fedha kwa ajili ya miradi ya ujenzi wa madaraja afu halmashauri zikatumia ndivyo sivyo vipi huwa wanawafanyaje wakurugenzi?.

si muhimu na wala sio Lazima kufanya hilo licha ya kua ushahidi upo wa kutosha tu.

hakuna alazimishwae kusaidia anae jiweza Mkuu
 
"Viongozi wa Afrika wanahitaji kutupatia ushahidi wa kile wamekuwa wakifanya katika zaidi ya dola bilioni 13 wanazopokea kutoka Marekani kila mwaka au warudishe fedha hizo." — Elon Musk

"Fedha zinatumika vibaya zaidi unapokuwa unatumia fedha za mtu mwingine kwa watu usiowajua. Utajali kiasi gani jinsi unavyotumia fedha wakati si zako? Hivi ndivyo Serikali yetu ya Shirikisho inavyotumia fedha zetu. Wanatumia fedha za mtu mwingine kwa watu wasiojua. Na tunapotaka kupitia jinsi fedha zote zimetumika, hatuoni chochote. Watu wanaopokea fedha wanataka kuendelea kupokea fedha na hawafanyi kile wanachopaswa kufanya nazo. Wanataka tu kuzitumia kujinufaisha wenyewe. Sababu ya mimi kuweka juhudi nyingi katika kusitisha USAID ni kwa sababu nafikiri ni hali mbaya sana. Si hiari na kama viongozi wa Afrika hawawezi kutoa ushahidi wa kile wamekuwa wakifanya na mabilioni tunayowapa kila mwaka, basi hawazihitaji. Marekani inafilisika na hatuwezi kuruhusu hilo." — Elon Musk kiongozi wa Idara ya Ufanisi ya Serikali ya Marekani

Kulingana na ripoti, nchi za Afrika zinadaiwa kupokea zaidi ya dola bilioni 13 mwaka 2024 kwa ajili ya kujenga shule, hospitali nk

View attachment 3269171

Fikiria matumizi ya fedha ya kipumbavu kama haya!
Ofisi zao za balozi zinawapa taarifa zote,Wala tusiwe na shaka. Kama ndizo zilizonunulia ester luxury tutajua tu!
 
"Viongozi wa Afrika wanahitaji kutupatia ushahidi wa kile wamekuwa wakifanya katika zaidi ya dola bilioni 13 wanazopokea kutoka Marekani kila mwaka au warudishe fedha hizo." — Elon Musk

"Fedha zinatumika vibaya zaidi unapokuwa unatumia fedha za mtu mwingine kwa watu usiowajua. Utajali kiasi gani jinsi unavyotumia fedha wakati si zako? Hivi ndivyo Serikali yetu ya Shirikisho inavyotumia fedha zetu. Wanatumia fedha za mtu mwingine kwa watu wasiojua. Na tunapotaka kupitia jinsi fedha zote zimetumika, hatuoni chochote. Watu wanaopokea fedha wanataka kuendelea kupokea fedha na hawafanyi kile wanachopaswa kufanya nazo. Wanataka tu kuzitumia kujinufaisha wenyewe. Sababu ya mimi kuweka juhudi nyingi katika kusitisha USAID ni kwa sababu nafikiri ni hali mbaya sana. Si hiari na kama viongozi wa Afrika hawawezi kutoa ushahidi wa kile wamekuwa wakifanya na mabilioni tunayowapa kila mwaka, basi hawazihitaji. Marekani inafilisika na hatuwezi kuruhusu hilo." — Elon Musk kiongozi wa Idara ya Ufanisi ya Serikali ya Marekani

Kulingana na ripoti, nchi za Afrika zinadaiwa kupokea zaidi ya dola bilioni 13 mwaka 2024 kwa ajili ya kujenga shule, hospitali nk

View attachment 3269171
Bongo lala tuache uchawa vinginevyo tukitakiwa kuzitapika fweza zilizobugiwa na mafisadi wetu ,huku wakifuga Chawa na machawa kama backup ya ufisadi wanaofanya tutarejeshwa utumwani upya,kama sii kununuliwa kwa mataifa yetu ya Afrika.
 
si muhimu na wala sio Lazima kufanya hilo licha ya kua ushahidi upo wa kutosha tu.

hakuna alazimishwae kusaidia anae jiweza 🐒
Lete huo ushahidi japo kwa mradi mmoja tu,vinginevyo hata wewe mtetezi wao jiandae na jipange kisaikolojia na sii kichawa.
 
si muhimu na wala sio Lazima kufanya hilo licha ya kua ushahidi upo wa kutosha tu.

hakuna alazimishwae kusaidia anae jiweza 🐒
Hata wakitaka zirudi kwa mabavu wanaweza, labda kama waamue kupotezea tu.
 
Huyu Musk ni mpuuzi tu yeye na Trump. Huko Ulaya kila wanapowaongezea tariff wanawajibu kwa tariff kubwa zaidi yaani ni vita ya piga nikupige.

Kusema kwamba pesa zao zimeliwa ni matusi ambayo anapata haki ya kuyatukana kwa sababu viongozi wetu wameomba sana misaada lakini yapo mengi ya maana waliyoyafanya kwa kutumia pesa zao hizo hizo.

Ukimsikiliza huyu mpuuzi ndio unaelewa kwanini RIP Mugabe na Magufuli hawakupenda kuwaendekeza hawa mabepari, walikwepa kunyanyasika kwa aina hii ya maneno.
 
Tunatakiwa asubuhi moja kwichi-kwichl abracadabra mambo shwaa.

Ni hivi kwa uongozi wa mtu kama Samia, Lissu, Nchimbi na tulionao leo hakuna kitu,

Uo Ndio ukweli.

Na ndio design ya viongozi wa wa Africa.

Hatuna bado model ya kiongozi wa kuleta maendeleo, na maendeleo ni hatua ambayo aiwezi mfurahisha kila mtu.

Kwa mada na michango ya JF hasa kwa raia Walio wengi wanaoishi Tanzania; kama ni diaspora kubali ni fate of the nation.

Ndio ukweli..
 
"Viongozi wa Afrika wanahitaji kutupatia ushahidi wa kile wamekuwa wakifanya katika zaidi ya dola bilioni 13 wanazopokea kutoka Marekani kila mwaka au warudishe fedha hizo." — Elon Musk

"Fedha zinatumika vibaya zaidi unapokuwa unatumia fedha za mtu mwingine kwa watu usiowajua. Utajali kiasi gani jinsi unavyotumia fedha wakati si zako? Hivi ndivyo Serikali yetu ya Shirikisho inavyotumia fedha zetu. Wanatumia fedha za mtu mwingine kwa watu wasiojua. Na tunapotaka kupitia jinsi fedha zote zimetumika, hatuoni chochote. Watu wanaopokea fedha wanataka kuendelea kupokea fedha na hawafanyi kile wanachopaswa kufanya nazo. Wanataka tu kuzitumia kujinufaisha wenyewe. Sababu ya mimi kuweka juhudi nyingi katika kusitisha USAID ni kwa sababu nafikiri ni hali mbaya sana. Si hiari na kama viongozi wa Afrika hawawezi kutoa ushahidi wa kile wamekuwa wakifanya na mabilioni tunayowapa kila mwaka, basi hawazihitaji. Marekani inafilisika na hatuwezi kuruhusu hilo." — Elon Musk kiongozi wa Idara ya Ufanisi ya Serikali ya Marekani

Kulingana na ripoti, nchi za Afrika zinadaiwa kupokea zaidi ya dola bilioni 13 mwaka 2024 kwa ajili ya kujenga shule, hospitali nk

View attachment 3269171
Dawa ni kutoa tena hizo fedha, nchi za africa hizo fedha zinaishia kuwanufaisha wao na kuwa na viburi vya madaraka, kuna nchi zingine africa wanafunzi wanakaa chini,mahospitalini dawa hakuna na masikini hawapewi huduma kwa punguzo. Nk nk nk.
 
Back
Top Bottom