Viongozi wa Afrika watakiwa kutoa ushahidi wa pesa za misaada

Basi sawa,mbivu na mbichi hadharani hivi karibuni
 
Eeeh kama wanataka tuwape ripoti hatuwapi hata wasipoleta waache sisi tushajijengea majumba na nyingine tukaweka huko uswiss.

Maneno ya mkosaji. Bajeti yetu ina eneo linaitwa misaada ya wahisani. Tunazibaje eneo hilo?
Siasa safi ni za kujitegemea. Tuwe na nidhamu na kile tunachokusanya. Kuanza kuleta maneno mengi sasa hivi ni mambo yale yale ya kuidanganya nafsi..sizitaki mbivu hizi
 
Elon ameamua kutukalia kooni, ana haki ya kujua pesa zinafanya nini, ila hajui kuwa ripoti ya uongo inaweza kutengenezwa.

Tunachukua misaada na kununua magari ya mradi...wenyewe wanataka kuona hiyo miradi iko wapi? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
naomba tu wamarekani watambue kuwa, ss waafrica wenye uchungu na bara la africa, tunamtaka trump ikulu ya marekani (white house) mpaka 2040 tu. Wakifanya hvo roho zetu zitasuhuzika sana.

Halafu kuna watu wanasema wasitusumbue. Wakati hata budget zetu asilimia karibu arobaini inajazwa na hela za misaada
 

Aiseeee...kweli tuko serious. Na kuanzia lini tutatengeneza bajeti ya asilimia 100 kwa mapato yetu wenyewe?
 
elon ni zaidi ya binadam wa kawaida
 
Aiseeee...kweli tuko serious. Na kuanzia lini tutatengeneza bajeti ya asilimia 100 kwa mapato yetu wenyewe?
mara zote tunafanya hivyo kama Taifa huru linalojitegemea, na tutaendelea kufanya hivyo mwaka hadi mwaka, wao wasitishe au waendelee kutoa misaada yao kadiri ya hiyari yao,

Tanzania tunasonga mbele πŸ’
 
mara zote tunafanya hivyo kama Taifa huru linalojitegemea, na tutaendelea kufanya hivyo mwaka hadi mwaka, wao wasitishe au waendelee kutoa misaada yao kadiri ya hiyari yao,

Tanzania tunasonga mbele πŸ’

Hakuna kitu kibaya kama kujidanganya nafsi

"In the 2024/25 Tanzanian budget, development partners are expected to contribute 5.13 trillion Tanzanian shillings (approximately 10.3% of the total budget) in grants and concessional loans, with the government aiming to reduce its reliance on donor funding. "
 
Unajua Hawa wapumbavu wanadhani watanzania wote ni wapumbavu kama wao.
 
si muhimu na wala sio Lazima kufanya hilo licha ya kua ushahidi upo wa kutosha tu.

hakuna alazimishwae kusaidia anae jiweza πŸ’
Katika machawa wapumbavu ww huwa ni kiongozi wao.....Kima.
 
Safi sana. Ni hatua nzuri Marekani inachukua kuhusu fedha wanazotoa. Maana wanatoa pesa nyingi kwenye elimu, afya na miundombinu mbalimbali lakini bado watoto katika baadhi ya shule nchini wanakaa chini, shule hazina milango wala madirisha, hospitali hazina dawa na vifaa muhimu. Wawajibishwe haraka sana
 
Hawa wasenge wasitishiwe hiyo misaada ,ni upumbavu kutoa misaada ya mabilioni ya dollar ambayo inaishia kufaidisha washenzi wachache kwenye hizi banana republic na kufanya ushenzi wa kila aina ikiwemo mauaji na ukandamizaji wa haki za raia kama ccm wanachofanya TANZANIA
 
Walianza na Greenland. Mara wakahamia Gaza sasa NI zamu ya Africa .Elon kapewa taarifa kuna makamu wa rais WA kisiwa flani kazuiliwa Airport Angola sasa akapata Idea Kwan asikanunue kabisa kale kakisiwa kwasbb viongozi wake hawako serious .alafu unanuaje kile kisiwa na ukiwaambia rudisheni dola bil 13. Wanakwambia bado tuna migodi ya dhahabu geita?HIINCHI ITAKUJA KUUZWA (In NDUGAI voice)
 
Aione Tlaatlaah na mwenzake Lucas Mwashambwa watetezi wa uovu na uhalifu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…