Viongozi wa CCM mliomdanganya rais Samia kuwa anakubalika wakati wananchi hawamtaki hamuoni aibu?

Viongozi wa CCM mliomdanganya rais Samia kuwa anakubalika wakati wananchi hawamtaki hamuoni aibu?

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Alipokuwa kuwa anafanya ziara za kunadi ilani ya chama chenu . Nasema ziara maana zilikuwa sio kampeni mlimdanganya na kula pesa za chama chenu bure.

Mlisomba watu kwa malori, matrekta , mabasi na semitela ili kujaza watu kwenye ziara zake. Lakini kumbe watu hawamtaki.

Nasema kuwa mna dhambi kubwa sana. Mlipaswa kumpa ukweli wa mambo.

Kabla hata matokeo hayatangazwa watu wakaingia mitaani kumkataa.

Mna dhambi kubwa sana.

Je, kuhusu Angela Kiziga na mafisadi wengine huwa mna mshauri?

Idu wa Igunga.
 
Aitwe Lucas Mwashambwa hapa tumwone pia akija Mzee wa Gombe itapendeza!
 
Haya mambo ya kusema wanamdanganya ni nadharia zisizokua na mashiko...kwani yeye hana akili au macho na masikio kwamba haoni wala asikiii kua hapendwi? Ni yeye ndo anajidanganya na sio kama anadanganywa ndo maana haishi kutengeneza vihoja kila siku.
 
Samia eeeeeeeeee
Samia rahaaaaaaa

Kiko wapi !!!!?
 
Kwamba hana akili kabisaaa hata ya kutambua jambo hilo dogo tu hadi adanganywe!!🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
Wanawake kwani mna akili basi, nyie si watu wa kudanganywa tu siku zote?

Mtu anakudanganya na unaingia mkenge vizuri kabisa, asipokuibia hela basi anakuachia mimba halafu anaingia mitini.

NB: Hapa najaribu kuwaza kama vile ambavyo wewe unatuchukuliaga wanaume.
 
Back
Top Bottom