Troll JF
Platinum Member
- Feb 6, 2015
- 10,592
- 15,404
How about your candidate?6.97% not 97.6%
How about your candidate?6.97% not 97.6%
Mkuu 'Idugunde', kwa heshima na taathima mkuu; kwa sababu siku zote unaeleweka vizuri kabisa kutokana na michango yako humu kuhusu unacho simamia.Alipokuwa kuwa anafanya ziara za kunadi ilani ya chama chenu . Nasema ziara maana zilikuwa sio kampeni mlimdanganya na kula pesa za chama chenu bure.
Mlisomba watu kwa malori, matrekta , mabasi na semitela ili kujaza watu kwenye ziara zake. Lakini kumbe watu hawamtaki.
Nasema kuwa mna dhambi kubwa sana. Mlipaswa kumpa ukweli wa mambo.
Kabla hata matokeo hayatangazwa watu wakaingia mitaani kumkataa.
Mna dhambi kubwa sana.
Je, kuhusu Angela Kiziga na mafisadi wengine huwa mna mshauri?
Idu wa Igunga.
RubbishAlipokuwa kuwa anafanya ziara za kunadi ilani ya chama chenu . Nasema ziara maana zilikuwa sio kampeni mlimdanganya na kula pesa za chama chenu bure.
Mlisomba watu kwa malori, matrekta , mabasi na semitela ili kujaza watu kwenye ziara zake. Lakini kumbe watu hawamtaki.
Nasema kuwa mna dhambi kubwa sana. Mlipaswa kumpa ukweli wa mambo.
Kabla hata matokeo hayatangazwa watu wakaingia mitaani kumkataa.
Mna dhambi kubwa sana.
Je, kuhusu Angela Kiziga na mafisadi wengine huwa mna mshauri?
Idu wa Igunga.
Tumempigia Kura kwa wingi, Una lingine?Bila shaka nyie ndio mlioamdanganya kuwa anapendwa na watanzania wote, hadi akaamua kujipa ushindi wa 98% hili kuendana na uongo mliomwambia.
Kura za maruhaniTumempigia Kura kwa wingi, Una lingine?
Wala hakudanganywa, alifanya kila kitu akijua HAPENDWI na kwa hasira ya kukataliwa akaamua kuua watu.Alipokuwa kuwa anafanya ziara za kunadi ilani ya chama chenu . Nasema ziara maana zilikuwa sio kampeni mlimdanganya na kula pesa za chama chenu bure.
Mlisomba watu kwa malori, matrekta , mabasi na semitela ili kujaza watu kwenye ziara zake. Lakini kumbe watu hawamtaki.
Nasema kuwa mna dhambi kubwa sana. Mlipaswa kumpa ukweli wa mambo.
Kabla hata matokeo hayatangazwa watu wakaingia mitaani kumkataa.
Mna dhambi kubwa sana.
Je, kuhusu Angela Kiziga na mafisadi wengine huwa mna mshauri?
Idu wa Igunga.
Anajua,yale malori na wanafunzi kila mkoa hakuwa akiona?Alipokuwa kuwa anafanya ziara za kunadi ilani ya chama chenu . Nasema ziara maana zilikuwa sio kampeni mlimdanganya na kula pesa za chama chenu bure.
Mlisomba watu kwa malori, matrekta , mabasi na semitela ili kujaza watu kwenye ziara zake. Lakini kumbe watu hawamtaki.
Nasema kuwa mna dhambi kubwa sana. Mlipaswa kumpa ukweli wa mambo.
Kabla hata matokeo hayatangazwa watu wakaingia mitaani kumkataa.
Mna dhambi kubwa sana.
Je, kuhusu Angela Kiziga na mafisadi wengine huwa mna mshauri?
Idu wa Igunga.
Watu walikuwa hawataki kuhudhuria hata ziara zake za kampeni. Hii ilikuwa picha kamili kuwa hapendwi na hakubaliki. Kulikuwa hakuna haja ya kubeba watu kwenye malori na mabasi ili kujaza watu viwanjaniMkuu 'Idugunde', kwa heshima na taathima mkuu; kwa sababu siku zote unaeleweka vizuri kabisa kutokana na michango yako humu kuhusu unacho simamia.
Hili hapa kwenye mada hii sijui kwa nini umeamua kuliweka hivi; hasa ulivyo weka hicho kichwa cha mada.
Hivi umesahau alikotokea na njia zote alizopitia huyu mwanamke hadi kufikia hatua za kuwaua waTanzania ili aendelee kukaa madarakani?
Hatua zote hizo kweli alipitia mikononi mwa CCM; kwamba wao ndio wamehusika kumdanganya kuwa anapendwa?
Tunazo sababu nyingi sana za kuwalaumu CCM kwa kushindwa kwao kumdhibiti mtu mwovu huyu hadi kufikia hatua za kuua waTanzania; lakini katika yote hayo hapawezi kuwepo na sababu kwamba ni "CCM ndio walimdanganya kuwa anapendwa..."
Huyu mtu mwovu amelazimisha; akisaidiwa na Genge la akina Kikwete na Roastam. Hawa siyo CCM.
Hata hivyo, baada ya kuyasema hayo, sina jambo lolote ninaloweza kuwatetea CCM. Hiki chama sasa hivi ndiye adui mkubwa wa taifa hili. Kuendelea kuwepo kwa chama hiki; hata akina Samia waondoke, matatizo ya nchi hii yataendelea kuwepo. Ni lazima chama hiki kiuliwe ili Tanzania ipone.
Maana yake ni kwamba tokea mwanzo alijuwa hapendwi, na hadi sasa anajuwa hapendwi.Watu walikuwa hawataki kuhudhuria hata ziara zake za kampeni. Hii ilikuwa picha kamili kuwa hapendwi na hakubaliki. Kulikuwa hakuna haja ya kubeba watu kwenye malori na mabasi ili kujaza watu viwanjani
Kwamba WanaCCM wenzake kumdaganya kuwa anakubalika wakati hakubaliki sio ukweli?Maana yake ni kwamba tokea mwanzo alijuwa hapendwi, na hadi sasa anajuwa hapendwi.
Kwa hiyo uamzi aliofanya toka mwanzo kabisa ni kuwa lazima atumie nguvu kubaki madarakani. Hili halijifichi kabisa, lipo wazi tokea mwanzo.
Ndio maana nikawa na mhangaiko na jinsi mada yako hii ulivyo iwasilisha humu
Labda niseme, ili kuipa/kuiongezea nguvu mada yako hii, wachangiaji tuijadili kwa kuunganisha na juhudi za waTanzania wasiomtaka kumkabili na kumwondoa kwenye ung'ang;'anizi wa madaraka yasiyo halali.
Hii kukumbushana tu kuwa "hakutakiwa" wakati anaendelea na madaraka ya kuwaumiza wasiomtaka inakuwa ni kufifisha nguvu tu kwa kuzisambaza.
Kwa heshima na taadhima, mkuu 'Idu' siamini hivyo kabisa.Kwamba WanaCCM wenzake kumdaganya kuwa anakubalika wakati hakubaliki sio ukweli?