Aitwe Lucas Mwashambwa hapa tumwone pia akija Mzee wa Gombe itapendeza!Alipokuwa kuwa anafanya ziara za kunadi ilani ya chama chenu . Nasema ziara maana zilikuwa sio kampeni mlimdanganya na kula pesa za chama chenu bure.
Mlisomba watu kwa malori, matrekta , mabasi na semitela ili kujaza watu kwenye ziara zake. Lakini kumbe watu hawamtaki.
Nasema kuwa mna dhambi kubwa sana. Mlipaswa kumpa ukweli wa mambo.
Kabla hata matokeo hayatangazwa watu wakaingia mitaani kumkataa.
Mna dhambi kubwa sana.
Je, kuhusu Angela Kiziga na mafisadi wengine huwa mna mshauri?
Idu wa Igunga.
Ana D moja tu form 4 - tena ya mofimu. Hapo unategemea nini?Kwamba hana akili kabisaaa hata ya kutambua jambo hilo dogo tu hadi adanganywe!!πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Wanawake kwani mna akili basi, nyie si watu wa kudanganywa tu siku zote?Kwamba hana akili kabisaaa hata ya kutambua jambo hilo dogo tu hadi adanganywe!!πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Bila shaka nyie ndio mlioamdanganya kuwa anapendwa na watanzania wote, hadi akaamua kujipa ushindi wa 98% hili kuendana na uongo mliomwambia.Wananchi tunampenda
6.97% not 97.6%97.6%
Bora hata panya,sasa hivi anaishi kama nyoka...kutwa kuwindwa na kujihamiMaskini wamemfanya aishi kama panya hana raha kabisa