Mohamedi Mtoi
R I P
- Dec 11, 2010
- 3,321
- 6,331
Nilijua tu utakuwa unakaa hiyo mitaa ya wajinga.Naona askari umewashindwa na wanaonekana mitaa yote, nami ni mmoja wao, mlinzi shirikishi, njoo mtaa wa Livingstone na Mafia, Dar., ulizia Mzee Zomba utanikuta, kijiwe kinaitwa Gogovivu.
Nilijua tu utakuwa unakaa hiyo mitaa ya wajinga.
humjui? Ni aliyewatuma kufanya mauaji raisi na jeshi lake la kua raia wema tena wasio na hatiaHivi camera ya marehemu, nani aliichukua? Mkanada wake unaweza kuwa na maana kubwa sana
Mkuu nina feeling kwamba wengi humu jamii farums hamkusikiliza WAPO radio 98.0 FM. Kila siku saa moja na dakika 20 wana kipindi cha matukio asubuhi na jioni muda huo huo. I am not trying to sell them, ila wanajitahidi sana kutafuta wahusika halisi wa matukio. Hapa natoa kile nilichokisikia kutoka kwa DEREVA ALIYEKODIWA NA WAANDISHI WA HABARI kuwapeleka kwenye eneo la tukio (ndimo alimokuwamo marehemu). Dereva huyo amejitambulisha kama John Joseph.
Kwanza kabisa ameanza kwa kusema AMESHUHUDIA KWA MACHO YAKE TUKIO HILI MWANZO HADI KIFO CHA MAREHEMU. Wakati kikao cha ndani kinaendelea ghafla zikafika defender nne za FFU akiwapo OCD. OCD baada ya kuzungumza na viongozi wa CHADEMA na kumweleza kuwa hakuna mkutano wa hadhara akakubali waendelee, FFU wakawa nje. Mara akatokea RPC na gari lake. Yeye alipofika akasema NI AMRI TAWANYIKENI. Wananchi waliokuwapo nje ya ofisi WAKAJISALIMISHA KWA KUKAA CHINI NA KUNYOOSHA MIKONO JUU. Lakini hiyo isitoshe mabomu ya machozi yakaanza kumiminika kama mvua hovyo hovyo. Waandishi wakarudi kwenye gari lao. Ndipo polisi wakamdaka mwandishi mmoja na kuanza kumpa kipigo kikali. Kuona hivyo, marehumu akashuka kwenye gari akakimbilia kwa RPC aliyekuwa garini akaanza kugonga kioo cha gari kumsihi RPC afungue kioo. RPC akafungua kidogo tu na marehemu akaanza kumsihi kuwa yule waliyemkamata si mfuasi wa CHADEMA bali ni mwandishi wa habari. RPC akamtazama marehemu kwa dharau halafu askari wengine wakamdaka.Ndipo RPC akamgeukia askari mmoja "na kumwambia BOMU". Mara moja ukasikika mlipuko wa kutisha na marehemu akadondoka hapo hapo. Maaskari wengine wakalifuata gari la huyu mr. Joseph na kuanza kuligonga gonga, akalazimika kuondoka kwa kasi sana eneo la tukio kujinusuru.
Habari hii mliosikiliza wapo mtakuwa mmeisikia laivu kuto kwa dereva mwenyewe. Yaani bila kuumauma maneno kasema alimsikia RPC akitamka BOMU kabla ya huo mlipuko kutokea. Hebu sasa fanyeni MAGAZIJUTO!
Unapokosa tawi, huishia na majani. Atleast upate kitu cha kusend signal
Kwahiyo RPC ndio ametoa amri ya kuuwa?
Mkuu I agree. And I hate to say this lakini as I see it; bila kulipiza kisasi kama mmoja alivyo-propose hapo juu, hii nchi haibadiliki. Wamesha-push us to the limit now; they have left no option zaidi yakuwashughulikia wao (polisi) individually bila kutazama utawala wa sheria. Haijalishi wanatumwa na nani- hata wezi au majambazi wengine wanatumwaga pia. Askari wana-utashi wao wakutambua wapi hawatakiwi ku-cross the line. I know this is not wright; lakini kwa Tanzania ilivyofika sasa sidhani kama kuna option nyingine kwa wananchi. I do not care about politics, i do not care what CDM,CCM,Police will come up with -sina imani kabisa kama watakachokubaliana kita-work. Mbona madaktari walikubaliana na Ikulu then what happened to Ulimboka? Kinachotakiwa sasa nikuwashughulikia hawa askari walioonekana kwenye picha kama majambazi wanavyoshughulikiwa kwakuchomwa moto. Sorry guys I see no other option. Tumeshaongea sana sasa.
Vp leo umekula kiasi cha gani cha nguruwe?Mtaa huo wa Livingstone kisha kaa Mkapa, na Kisha kaa Mwinyi, na ukitoka Livingstone mtaa wa pili tu, unaitwa Sikukuu, kisha kaa Nyerere na hapo hapo Sikuukuu, kuna club inaitwa Saigon ndio kijiwe cha Kikwete enzi hizo, hao ni baadhi ya aina ya watu tulio Kariakoo, na upatikanaji wa madaraka ya nchi hii ulianzishwa harakati zake hapo hapo Kariakoo.
Ikiwa wote hao wajinga, basi wewe ni mjanja sana, karibu Kariakoo.
Mwandishi wa habari ambae anakwenda kwenye sehemu iliyovunjika amani ni lazima ajuwe mbinu za kujisalimisha, tuseme ukweli. Hakuna duniani anaejisalimisha yanakotokea mashambulizi na akaenda kumkumbatia kiongozi wa mashambulizi. Inabidi mjifunze namna ya kujisalimisha kwa askari yanapotokea machafuko. Njia rahisi ni kunyanyua kitambaa cheupe huku umejilaza chini, kama hauna kitambaa hata shati lako kama huwezi unalala kifudifudi. Hata siku moja usijaribu kukimbilia wanakotokea askari wanaoshambulia, wanajuwa umesha panic na uko tayari kwa lolote na umejioa Mhanga.
Huo ndio ukweli. Fikiri! tusipelekee jazba kupelekea kuwacha kufikiri ukweli na kilichomfikisha marehemu kwenye umauti wake. Tuwe makini.
Jaji mihayo ameulizwa km sheria zinaruhusu jesh la polis kushtakiwa, amesema inahusiwa na amewasii wanasheria wajitokeze kuisaidia familia kulishtaki jeshi la polisi
hivi wewe bibi yako ndie aliyemchawia Ndugu yetu Maneno mkamtupia chango imemtesa hadi Kavuta enh!Mtaa huo wa Livingstone kisha kaa Mkapa, na Kisha kaa Mwinyi, na ukitoka Livingstone mtaa wa pili tu, unaitwa Sikukuu, kisha kaa Nyerere na hapo hapo Sikuukuu, kuna club inaitwa Saigon ndio kijiwe cha Kikwete enzi hizo, hao ni baadhi ya aina ya watu tulio Kariakoo, na upatikanaji wa madaraka ya nchi hii ulianzishwa harakati zake hapo hapo Kariakoo.
Ikiwa wote hao wajinga, basi wewe ni mjanja sana, karibu Kariakoo.
Ningependa kupata usahihi wa taarifa hii na kama ni kweli basi maneno ya Sitta juu ya slaa yanazidi kupata nguvu. Hivi uliona wapi mahakama ikaunda tume? hii sheria ya wapi ? masuala ya tume ni ya watendaji ambao ni serikali na si mahakama. Duh kweli babu sasa anaanza kuzeeka vibaya na ukiona mtu anatoa maneno hata yasiyo eleweka ujue ndio anafikia kikomo
Aliyemuua Mwandishi wa Habari ni Raia wa Kenya... Kover
Mwandishi wa habari ambae anakwenda kwenye sehemu iliyovunjika amani ni lazima ajuwe mbinu za kujisalimisha, tuseme ukweli. Hakuna duniani anaejisalimisha yanakotokea mashambulizi na akaenda kumkumbatia kiongozi wa mashambulizi. Inabidi mjifunze namna ya kujisalimisha kwa askari yanapotokea machafuko. Njia rahisi ni kunyanyua kitambaa cheupe huku umejilaza chini, kama hauna kitambaa hata shati lako kama huwezi unalala kifudifudi. Hata siku moja usijaribu kukimbilia wanakotokea askari wanaoshambulia, wanajuwa umesha panic na uko tayari kwa lolote na umejioa Mhanga.
Huo ndio ukweli. Fikiri! tusipelekee jazba kupelekea kuwacha kufikiri ukweli na kilichomfikisha marehemu kwenye umauti wake. Tuwe makini.
Ameen.....Mkuu pamoja nilikuwa na machungu na hizi habari, umenifanya nicheke....barikiwa