Exquisite [emoji7][emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Tunaitaji strong parliament in which we have at least 40% patriotic opposition representatives.Nimeanza kuona udhaifu wa kuwa na wabunge wachache wa upinzani ndani ya bunge la JMT!! Ni hasara sana aisee
Kabisa, hasara na maumivu kwa inchi yetu
 
Wabunge hawana cha ziada kumkichwa wametuzidi kuvaa suti tuuu!
 
Wao km kanisa katoliki wamechukua hatua gan sabu wabunge mawaziri na viongozi kibao wa bunge ni katoliki wamewaita na kuwaeleza km waumini wao
 
Bunge lenyewe lina Std 7 and below kama akina
Lusinde
Msukuma
Jah People
Halafu unawapelekea mkataba ulioandikwa kiingereza cha kiwanasheria unategemea wajiridhisheje na kwa muujiza gani?
Mkuu ata ungeandikwa kwa Kiswahili ni kazi bure.Mule hamna Bunge,ni upuuzi mtupu wakiongozwa na Spika wao Kilaza aliyejigeuza mtetezi wa serikali badala ya Wananchi.
 
Haya kwenye video hii yanauma:

Nimsikiliza huyu Wakili,alo kapiga kwenye mshono.Alafu jamaa kumbe ashafanya kazi serikalini na kaitaja mpaka kamati maalumu ya ufundi ya Wanasheria,akadai ana wasiwasi kama walishirikishwa.
 
Mkuu ata ungeandikwa kwa Kiswahili ni kazi bure.Mule hamna Bunge,ni upuuzi mtupu wakiongozwa na Spika wao Kilaza aliyejigeuza mtetezi wa serikali badala ya Wananchi.
👍✍️
 
Kwa wabunge wa ccm sidhani kama wanaweza kubadilika! Kuna "kitu" wakiona, akili na ubinadamu unawatoka kabisa!

Tukumbuke wametisha mikataba mingi sana kutokana na nguvu ya 'hiki kitu' ambacho Mwenyezi Mungu alikilaani!
Lile Bunge livunjwe,tufanye Uchaguzi upya aisee!
 
Hapa angekuwepo Tulia angetaka viongozi wa dini wathibishe wananchi wameumizwa kwa kiwango gani.
Aisee yule ni Spika wa ovyo sana,alafu eti anagombea nafasi ya kuwa Rais wa Mabunge Duniani![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mnapitisha kwanza azimio halafu ndiyo mnaanza kusumbua watu.

Huyo aliyeshauri iundwe kampuni itakayoingia mkataba kwa niaba ya serikali ana akili kiaina.
 
Nimpongeze Ndugu Rais kwa kukubali kikao na viongozi wa kidini. Hii ni roho ya usikivu. Mungu amjalie afanye maamuzi sahihi kwa maslahi ya watanzania.
 
Upumbavu mtupu, serikali zilizofanikiwa ziliwekeza kwa watu wao siyo wageni
 
Aisee yule ni Spika wa ovyo sana,alafu eti anagombea nafasi ya kuwa Rais wa Mabunge Duniani![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Atatuaibisha Watanzania bora apigwe chini aibu ibaki nyumbani.
 

ELIMU MNAYO OMBA ITOLEWE HII HAPA MSIKILIZENI MTAELEWA TU!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…