Viongozi wa Dini wanazungumza na Serikali kuhusu Mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai
" Wabunge wetu wamekuwa watu wa kuunga mkono kila kitu wakati mwingine hata kwa mkumbo ama wao huona ni kama mtindo huku wakiwaumiza Wananchi hii si sawa hata kidogo!"

" Bunge lijikite kwenye misingi chanya ya kuwatetea Wananchi na siyo kuwaumiza."

Katibu TEC.
Kuna watu hawapendi kusikia hayo maneno
 
Bora ungelinganisha mfugaji wa mbuzi na mfugaji wa simba
Sisi ndiyo wenye Simba halafu wao ndiye wenye Mbuzi, si ndiyo!!!! l.o.l.
Mimi kwa nafsi yangu kwenye swala la uwekezaji, nawapenda pia Waarabu, tena sana. Unajua mtu ambaye ana akili ya kubadilisha jangwa kuwa Almasi, na akaishi maisha mazuri kuwazidi hata wale wanaoishi kwenye ardhi ya rutuba!
 
ppv89746920451029955502855dee-c8e0-415e-a80e-8df4a2ccd74e.jpg
Asente DP
 
Bunge lenyewe lina Std 7 and below kama akina
Lusinde
Msukuma
Jah People
Halafu unawapelekea mkataba ulioandikwa kiingereza cha kiwanasheria unategemea wajiridhisheje na kwa muujiza gani?
Waliosaini mkataba wengine ni maprofesor haya mambo yanahitaji uzalendo kwanza
 
" Wabunge wetu wamekuwa watu wa kuunga mkono kila kitu wakati mwingine hata kwa mkumbo ama wao huona ni kama mtindo huku wakiwaumiza Wananchi hii si sawa hata kidogo!"

" Bunge lijikite kwenye misingi chanya ya kuwatetea Wananchi na siyo kuwaumiza."

Katibu TEC.
Lazima tuamke tuwadhibiti hawa wazanzibari vinginevyo nchi inaenda hii
 
msikilize vizuri na muelewe kwa akili kidogo ,anamaanisha ni wenyewe sema yy hajaupata kwa njia rasmi na kunakazihaki kidogo kakachombeza hapo ,maana huu mkataba upo hata ktk tovoti ya bunge waliweka.Usitoe hukumu kabla hujatumia uwezo wa kutafakari jambo
Hakuna cha kufikiri, au awe mkweli au asiunukuu.

Lakini hilo hatulitegemei kutoka kwa viongozi wa imani ya Kikristo, wote ni hivyo hivyo, porojo nyingi.

Wamezowea wajinga ndiyo waliwao.

Mfano wanakwambia eti Yesu ni "Mungu" ukiisoma biblia hakuna mahali unakuta Yesu akisema hivyo.
. Tushawazowea, wamezowea kuwaburuza makondoo.

Majibu yao ni kama wewe eti "huwezi kuelewa".

Wajinga ndiyo waliwao.
 
" Wabunge wetu wamekuwa watu wa kuunga mkono kila kitu wakati mwingine hata kwa mkumbo ama wao huona ni kama mtindo huku wakiwaumiza Wananchi hii si sawa hata kidogo!"

" Bunge lijikite kwenye misingi chanya ya kuwatetea Wananchi na siyo kuwaumiza."

Katibu TEC.
Ndugu zangu katika bwana na kanisa lote, kuhusu wabunge hamtaweza kuwafanya wabadili tabia ya kupiga makofi meza na neno ndio kwa kila muswada!! Huo ndio utaratib wanaotakiwa kuufanya.
 
Badala azungumze na wataalam wa sheria wamhoji maswali anazungumza na wazee wa dini wao na mikataba wapi na wapi. Hii nchi ina vituko kweli
Wewe kwa uelewa wako unafikiri viongozi wa dini ni maamuma?, unaijua elimu ya dk kitima,unaijua elimu ya nyaisonga?, humu kuna madokta na maprofesa.usiwe boya wewe.
 
" Wabunge wetu wamekuwa watu wa kuunga mkono kila kitu wakati mwingine hata kwa mkumbo ama wao huona ni kama mtindo huku wakiwaumiza Wananchi hii si sawa hata kidogo!"

" Bunge lijikite kwenye misingi chanya ya kuwatetea Wananchi na siyo kuwaumiza."

Katibu TEC.
Hapa angekuwepo Tulia angetaka viongozi wa dini wathibishe wananchi wameumizwa kwa kiwango gani.
 
Hapo ndio wasiosoma huzidi kudharau wasomi[emoji1787]
Nimekutana na hizi kejeli mara kadhaa, na inapotokea ishu km za bandari, ndio tunazidi kudharauliwa mpaka[emoji24]
Elimu ina maana gn kama wewe sio mzalendo?,.Nani alikudanganya kuwa walio saini huo mkataba hawana elimu?, elimu ina maana tu kama mwenye hiyo elimu ni mzalendo.
 
Hapa angekuwepo Tulia angetaka viongozi wa dini wathibishe wananchi wameumizwa kwa kiwango gani.
Hajipendi?!

Papo pa kugusa lkn siyo kwa hao wakurungwa.

Ukisikia wanasema wanamwachia Mungu basi kesho yake huo u spika hatakuwa nao 😆
 
Kama wanajua una tija wasitumie nguvu kubwa kutuaminisha badala yake wasubiri waje watuoneshe matunda yake
Swala hatutaki kuonyeshwa matunda bali tunataka kabla ya kusign mkataba kieleweke. Kama mwakilishi wa kanisa katoliki alivyosema, nchi isiwe ndo inasign mkataba bali iwepo kampuni inayowakilisha Dubai. Hiyo kampuni ndo itaendesha bandari na itakuwa responsible kwa kila kitu siyo nchi.
 
Wewe kwa uelewa wako unafikiri viongozi wa dini ni maamuma?, unaijua elimu ya dk kitima,unaijua elimu ya nyaisonga?, humu kuna madokta na maprofesa.usiwe boya wewe.
Kuwa PhD holder wa theolojia au kuwa PhD holder wa udaktari wa binadamu hakukufanyi uwe expert wa sheria na mikataba. Acha upopoma. Ndiyo maana hata hayo makanisa yanatumia wana sheria katika mambo yake sio kisa daktaro ana PhD basi atajua kila kitum usiwe bwege bwege wewe
 
[emoji106]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom