Aite watu ambao wako kwenye field husika ndio aongee nao wamhoji sio hao maaskofu na elimu zao za theology.Kwa mawazo Yako unafikiri mtu akiitwa padre au askofu basi atakuwa amesoma dini TU. Usije kusimama mbele ya maaskofu ukatamba na kadigrii Kako kamoja ka uchumi au kilimo utajua hujui.
Tunajadili Bandari!! Hayo ya wanawake wenzako wa Covid 19 bakini nayo huko UfipaHuyo ni Lecture wa sheria asiyekuwa na moral authority ya cheo chake na elimu yake.
Unawezaje kuwakumbatia "wabunge" wasiokuwa na chama kuwemo ndani ya bunge??-- sio kuvunja sheria za nchi huko??.
Tulia haaminiki kabisa, huyo ni CCM stooge.
Tunajadili Bandari!! Hayo ya wanawake wenzako wa Covid 19 bakini nayo huko Ufipa
Bungeni kuna Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Yeye kama Spika anatambua hilo isipokuwa wao CCM na CHADEMA ndiyo wanaojua kuwa wana wabunge waoHuyo ni Lecture wa sheria asiyekuwa na moral authority ya cheo chake na elimu yake.
Unawezaje kuwakumbatia "wabunge" wasiokuwa na chama kuwemo ndani ya bunge??-- sio kuvunja sheria za nchi huko??.
Tulia haaminiki kabisa, huyo ni CCM stooge.
Bungeni kuna Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Yeye kama Spika anatambua hilo isipokuwa wao CCM na CHADEMA ndiyo wanaojua kuwa wana wabunge wao
Bila shaka unaongea kwa uelewa wako Wala si kwa uhalisia ulivyo. Hiyo shule ulikuwa unafundishwa na mapadre na maaskofu wote walioko hapa Tanzania? Kama ulikutana na mmoja ukausoma uwezo wake basi ni huyo mmoja. NB. Wale wanaweza kusema jambo hili HAPANA na likawa HAPANA, wakisema endelea litaendelea. Ondoa hafu rafiki Kila kitu kitakuwa sawa. Hii ni Tanzania.Aite watu ambao wako kwenye field husika ndio aongee nao wamhoji sio hao maaskofu na elimu zao za theology.
Najua kuhusu hao watu na nmesoma shule zao so najua uw3zo wao
Inaonekana bandari kuwa shamba la bibi na viongozi ngazi ya juu wivu umewajaa kuona mchongo wa Kalamagi na washirika wake wamenufaika vya kutosha na kuamua kigogo mwingine matawi ya juu kuwa TICS asiongezewe tena mkataba maana ni zamu ya Dubaï sasa.
Narudia tena alipadwa kuzungumza na watu wa hiyo field si viongozi wa dini maana hayo mambo hayahusu theolojia. Hakuna wanachoweza kubadilisha wangekuwa wana nia wangeomngea nao kabla ya kuupatisha. Wanawatumia tu kutafuta justification maana wana access na waumini ambao ndio wa tanzania.Bila shaka unaongea kwa uelewa wako Wala si kwa uhalisia ulivyo. Hiyo shule ulikuwa unafundishwa na mapadre na maaskofu wote walioko hapa Tanzania? Kama ulikutana na mmoja ukausoma uwezo wake basi ni huyo mmoja. NB. Wale wanaweza kusema jambo hili HAPANA na likawa HAPANA, wakisema endelea litaendelea. Ondoa hafu rafiki Kila kitu kitakuwa sawa. Hii ni Tanzania.
Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar amesema TPA ni ya Tanzania Bara na haina uhusiano wowote na Zanzibar!Vyote vimo katika mkataba huu, ni tundulissu ndiye aliyemdanganya Mbowe haraka haraka akakurupuka kuwa Zanzibar haimo eti akidai TPA ni ya Tanzania Bara tu kumbe ina mamlaka hadi Zanzibar. Aidha, Tundu alimpotosha Mbowe kuwa Professor Mbarawa hana madaraka Zanzibar kumbe anayo. Sasa Watanzania wote tunaanza kuona ni watu gani wako CHADEMA - wabinafsi, wabaguzi, waongo, walaghai.
Una point ya Msingi, ila jaribu kunielewa pia nilichoandika. Kuna wakati maji yakimwagika unatafuta wa kuyazoa japo unajua hayazoleki. Ila katika hili naamini kama halina Nia njema kwa Taifa halitafanikiwa. Likifanikiwa ujue faida ni kubwa koliko hasara kwa Taifa. Uwe na amani.Narudia tena alipadwa kuzungumza na watu wa hiyo field si viongozi wa dini maana hayo mambo hayahusu theolojia. Hakuna wanachoweza kubadilisha wangekuwa wana nia wangeomngea nao kabla ya kuupatisha. Wanawatumia tu kutafuta justification maana wana access na waumini ambao ndio wa tanzania.
Kitu gani kinamwongepesha kuita watu wenye hiyo field na awape nafasi ya kumpga maswali kama kweli anajiamini? Hukawii kusikia kaita wazee wa dar nao kuwaeleza.
Hakuna mtu aliyesoma shule ambayo aliwahi fundishwa na watu wote. Nmekwambia sina shaka na uwezo wao lakini wao si watu sahihi wa kwenye hiyo field. Kuwa umesoma theolojia au ukawa daktari bingwa hakukufanyi ujue masuala mengine kinaga ubaga
Mpemba mmoja alikuwa pale Utopolo FC sasa kahamia Rambaramba SC😀😀Hivi huyu Fei Toto ni nani? Ni mtoto?. NI maarufu hadi Mama nimemsikia akimtaja
Samia amekwishaonyesha kwa matendo yake mbalimbali tokea aingie kwenye uongozi wa nchi hii kwamba hana nia ya dhati ya kuitumikia nchi hii na kulinda maslahi yake.Lazima Rais Samia ajue kwa swala hili la bandari kachemka vibaya na sio tu litamgharimu yeye pekee bali Chama chake kwa ujumla, wamezoea kutuona Watz ni mazuzu.
CCM siku moja ilitakiwa ianguke na suala la bandari litakuwa "a starting point" ya kuanguka kwake.
Kwa wale wasiojua kwa nini sisi wengine tunadai Katiba Mpya, hiyo nukuu hapo juu ni ya Waziri Prof. Mbarawa.Kulingana na Katiba, Serikali ya Tanzania ilianzisha mkachato wa kuridhiwa na Bunge ili utekezaji wake uweze kuanza.
Kwa namna yoyote, kama ana Nia OVU kwa Tanganyika yetu hatafanikiwa milele. Hata kama mkataba umeshasainiwa hautapitishwa. Na hili alijue wazi.Samia amekwishaonyesha kwa matendo yake mbalimbali tokea aingie kwenye uongozi wa nchi hii kwamba hana nia ya dhati ya kuitumikia nchi hii na kulinda maslahi yake.
Hili la Bandari limekuwa wazi zaidi kuhusu nia yake hiyo mbovu kwa nchi anayoiongoza na hata ambao walikuwa hawajui sasa wanajua.
Samia itabidi awe fundi sana wa kuzima maswala mazito kama haya, endapo kama atafanikiwa tena kuwahadaa watu wasione nia yake ovu kwa nchi hii.
Sasa anahangaika kutafuta njia za kupoza, kama huko kuwatumia viongozi wa dini, na pengine muda hauko mbali sana tutaanza pia kumsikia 'sponsor' wake mkubwa akiingia kazini kumsafisha.
Na kwa bahati mbaya sana, hata 'sponsor' mwenyewe haaminiki kwa waTanzania.