Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,324
- 5,933
Nimefarijika kuliskia hili kutoka roma hao hawana mchezo wakikuamulia kiti cha urais utakiona kwa mbali ndani ya sekundeLeo ndio nimegundua hawa ni kanisa dola kwa kificho. Kwamba wamechunguza kuhusu Dp na wanayo nyaraka ya maandishi wataikabidhi serikali. Kasema wanayo nyaraka fake ambayo mwanasheria Hamza alipokuwa akitoa ufafanuzi akitumia ile quinine ni kama mambo yote ya feki na junioni yana fanana.
Kasema kwa akili kubwa hapa, maana yake ni hicho kinachoitwa feki sio feki bali kinakuwa feki kwa vile kimevujishwa hakikuwafikia watu kwa utaratibu.