Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
- Thread starter
-
- #41
Kwa upande wa Macron na Scholz uchaguzi wa bunge la Ulaya umeonyesha vyama vyao vimekosa ushawishiKatika viongozi wote wa G7 waliohudhuria huo mkutano, sioni ambaye tutamwona tena akiwa raisi wa nchi kwenye mataifa yao wote wanakalia kuti kavu hawana dalili za kushinda ucjshuzi ujao na kuhudhuroa mkutano mwingine tena wa G7 zaidi ya huyo mwanamama wa Italia
Ni kweliKwa upande wa Macron na Scholz uchaguzi wa bunge la Ulaya umeonyesha vyama vyao vimekosa ushawishi
Biden bado ana wakati mgumu sana Trump inaonekana anakubalika kwenye kura za maoni kwenye majimbo japo kwa gap dogo
SahihiWaache kulialia. Wao walivyoivamia China miaka 150 iliyopita na kuwafanyia unyama wachina walitegemea Wachina wa leo watakubali udhaifu wa kale?
China ina idadi ya watu inayozidi nchi zote hizo combined, wanataka China ifanye nini kuwezesha watu wake waishi maisha mazuri?
China iendelee hivyohivyo kama inavyofanya sasa hivi, isikubali kurudishwa nyuma.
Ila kwenye nukta ya South China sea. China nayo iache ubabe, nchi moja huwezi kujipa miliki ya bahari eti yote yako kisa eti wafalme wako miaka 1000 iliyopita walipeleka ngalawa huko!
China ni mkoloni mwingine ni ujinga kujidanganya Kwamba ni rafiki waulize wakenya...🤓🤓🤓Hakuna wa kuwahurumia hao WAKOLONI!
Kulalia, kujifanya watakatifu na nini kumbe MASHETANI WAKUBWA...
KARIBU CHINA...
FafanuaChina ni mkoloni mwingine ni ujinga kujidanganya Kwamba ni rafiki waulize wakenya...🤓🤓🤓
Umesema vyemaWapuuzi tu hao na mwenzao USA wanaleta habari za free trade isiyo fair wakati wananufaika wao ikiwa ndivyo sivyo wanaleta propaganda siziso na mashiko in short ni hypocrites.... ;
Kama dunia we need a level playing field a fair trade
Fair Trade: A Gateway to Global Village
A Dialogue towards Mutual Relationship - (One World; One Nation; Global Citizens) - A Book by Busara Bin Hekima Introduction The book is about Fair Trade; having a Mutual Relationship rather than the current Parasitic relationship which benefits some for the detriment of others. Rather than...www.jamiiforums.com
Mbona Marekani alikuwa anazuia kuiuzia China advanced semiconductors?Nchi hizo zimeishutumu China kwa kufanya hivyo kwani inasababisha uhaba wa madini hayo kwa mataifa mengine yanayotengeneza bidhaa zinazoyatumia madini hayo kama malighafi.
Mimi sio mfariji wao na hata hawanifahamu na sidhani kama hao G7 wamesoma comment yangu, na maamuzi yao hayanisaidii kabisa, hivyo usijipe stress kabisa hapa tunatoa mawazo yetu tu.yaani komenti hii ndo umeona itawafariji hao G7 au itakufariji wewe???
Labda huelewi, viwanda vilivyoko china vingi ni vya kutoka nchi zilizoendelea siyo mali ya CHINA. Waliposema hata viwanda vyao ataviua ni kwa misimamo yake China siyo kwamba anatechnologia au viwanda vingi hapana, wanaongelea akiendelea ku behave hivyo, mahusiano yakifa maana yake watalazimika kuondoa makampuni na viwanda vyao CHINA. Usidhani China ni taifa imara sana , madeni aliyo nayo migogora ikianza hayalipiki, labda kama anataka kujilipua asilipe madeni, lakini ataumia sana.Kwa sasa China ashavuka huo mstari ni unbeatable ndio maana kila mkutano wanamjadili yeye. Wakati mwenzangu na mimi ukiwa mbagara unamchukulia poa, wao wanaogopa kuwa hata viwanda vyao ataviua yani ni center ya mkutano wao.
China kakopa sana kujenga china, anadaiwa sana kuliko mnavyodhani. Na viwanda vingi China siyo mali ya china, mahusiano aliyo sign WTO ndiyo yalifanya aonekane hivyo alivyo leo, sasa anataka kujitia uchizi, na atakuwa chizi kweli.China ataufyata kwenye kipengele kipi mkuu?
Sisi huwa hatujibu hoja.maswali kama haya tunakufunga kwa kesi ya uhain.China ataufyata kwenye kipengele kipi mkuu?
Kwa hiyo west walianzisha viwanda china mfano cha BYD, Xiomi, TCL, ili vikazalishe bidhaa ambazo zinauzwa bei rahisi halafu wao wenyewe wao waliozianzisha waziogope.Labda huelewi, viwanda vilivyoko china vingi ni vya kutoka nchi zilizoendelea siyo mali ya CHINA. Waliposema hata viwanda vyao ataviua ni kwa misimamo yake China siyo kwamba anatechnologia au viwanda vingi hapana, wanaongelea akiendelea ku behave hivyo, mahusiano yakifa maana yake watalazimika kuondoa makampuni na viwanda vyao CHINA. Usidhani China ni taifa imara sana , madeni aliyo nayo migogora ikianza hayalipiki, labda kama anataka kujilipua asilipe madeni, lakini ataumia sana.
Acha nyeto.Labda huelewi, viwanda vilivyoko china vingi ni vya kutoka nchi zilizoendelea siyo mali ya CHINA. Waliposema hata viwanda vyao ataviua ni kwa misimamo yake China siyo kwamba anatechnologia au viwanda vingi hapana, wanaongelea akiendelea ku behave hivyo, mahusiano yakifa maana yake watalazimika kuondoa makampuni na viwanda vyao CHINA. Usidhani China ni taifa imara sana , madeni aliyo nayo migogora ikianza hayalipiki, labda kama anataka kujilipua asilipe madeni, lakini ataumia sana.
Weee acha uongo.Labda huelewi, viwanda vilivyoko china vingi ni vya kutoka nchi zilizoendelea siyo mali ya CHINA. Waliposema hata viwanda vyao ataviua ni kwa misimamo yake China siyo kwamba anatechnologia au viwanda vingi hapana, wanaongelea akiendelea ku behave hivyo, mahusiano yakifa maana yake watalazimika kuondoa makampuni na viwanda vyao CHINA. Usidhani China ni taifa imara sana , madeni aliyo nayo migogora ikianza hayalipiki, labda kama anataka kujilipua asilipe madeni, lakini ataumia sana.
Labda huelewi, viwanda vilivyoko china vingi ni vya kutoka nchi zilizoendelea siyo mali ya CHINA. Waliposema hata viwanda vyao ataviua ni kwa misimamo yake China siyo kwamba anatechnologia au viwanda vingi hapana, wanaongelea akiendelea ku behave hivyo, mahusiano yakifa maana yake watalazimika kuondoa makampuni na viwanda vyao CHINA. Usidhani China ni taifa imara sana , madeni aliyo nayo migogora ikianza hayalipiki, labda kama anataka kujilipua asilipe madeni, lakini ataumia sana.
Kanishangaza huyu jamaa.Sasa kama viwanda vilivyoko China vingi ni vyao wanalialia nini sasa. Si wapunguze hivyo viwanda au wapunguze uzalishaji?
Ukweli ni kuwa China ana viwanda vyake mwenyewe vingi tu, vinazalisha vya kutosha na hicho hawataki!