Viongozi wa JKT Tanzania hakikisheni Yanga hawapiti mlango wowote zaidi ya ule mtakaopitia nyinyi, washaingia katika mfumo leo

Kwasababu zipi aikupaswa kushinda?
 
Dah kuanzia leo ntakua nakusoma na kukuamin mkuu..

Ubaya ubwelaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
kula ushibe hatutaki kusikia kelele za lawama kwa GSM
Hapa tunamalizia kula wali nyama choma na mbuzi tunashushia na k vant ...unateseka ukiwa wapi [emoji23][emoji23][emoji23]
Ubaya ubwela

Biya biya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…