Kwasababu zipi aikupaswa kushinda?Ukweli ni kuwa yanga haikupaswa kushinda mechi ya kengold kule mbeya wala mechi ya Simba.
Ni kwa vile wana mambo mengi nje ya uwanja.
Ni aibu kwa timu inayosemwa bora kushindwa kwenda robo fainali CAF.
Bakini na jitihada za kuiangusha Simba ili isishiriki Klabu bingwa maana mkishiriki wote mtaaibika tu
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app