Viongozi wa Juu wa CHADEMA kuongea na Wanahabari Novemba 25, 2020 Makao Makuu ya Chama, Kinondoni


Usiji vike ujinga na kujiaminisha na mambo ambayo hayapo.

Chadema kapanda kitandani nguo kutoa, uchi wa myama CCM inatongoza nini hapo?
 
Kimsingi huo mkutano haupo leo. Utahairishwa kwa sababu yoyote ile (inaweza singiziwa hata dola) ni mbinu tu ya kuwaadaa na kupunguza munkari ya wanachama.
 
Retired kwani mimi nakupenda??? Halafu wachana na kukupenda, mimi hata sijawahi kujua kama unaexist🤣🤣🤣
Hapo umedanganya, maana tupo humu wote JF. I am aware of your JF existence, but I have no "love" with you😀😀😀😀😀😀, nakutani mwaya, ndiyo mambo ya JF!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…