Mama D sikupendi , sijui kwanini?Kesho Ufipa
View attachment 1634179
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama D sikupendi , sijui kwanini?Kesho Ufipa
View attachment 1634179
Hapana, it depends wataongea nini......Too late
Hiyo ndiyo ofisi huogopwa na CCM mpaka kukesha kuwabambikia kesi kuwapiga risasi uonevu unyanyasaji uovu mateso yote na sasa wametumia mabilioni kuwanunua wabunge wa kike, Sasa jiulize je? Chadema wangekuwa na ghorofa 5 ingekuaje? Si mngekuwa mkiwachinja kama kuku?
Wewe unayejua kitu hujambo?!hujui kitu
Nasikia beberu Amsterdam naye atakuwepo
Kura yangu sasa itakuwa inaenda kwa Chaumma, ada-tadea na kadhalika.
lissu ni ACT wazalamoWakifanya hivyo watatusaidia sana, maana mh. Lissu ataunda chama kingine amabacho kitakua vizuri mnoo
Halafu wanataka kuendesha nchi🤣🤣🤣Yani hawana hata kiwanja tu, maskini!
Mngetulia kwanza mkajipanga, huku kukurupuka ili mradi kushindana na jamii ya mitandaoni ndo kutazidi kuwatoa relini....
Ofisi ya chama chenye umri wa miaka 28 na nusu hiyo😂😂Dah! Kumbe ndio ufipa hapa,mbona ofis kama vyumba vya madarasa ya chekechea
Retired kwani mimi nakupenda??? Halafu wachana na kukupenda, mimi hata sijawahi kujua kama unaexist🤣🤣🤣Mama D sikupendi , sijui kwanini?
Chadema leo mtapiga uongo Sanaaaa wa kuzuga lakini lengo mpate ruzuku na ile milioni moja na laki tano toka kwa kila mbunge kwa mwezi !!!hujui kitu
Mtu mbaya aunde chama kizuri mno? MmmmWakifanya hivyo watatusaidia sana, maana mh. Lissu ataunda chama kingine amabacho kitakua vizuri mnoo
Hapo umedanganya, maana tupo humu wote JF. I am aware of your JF existence, but I have no "love" with you😀😀😀😀😀😀, nakutani mwaya, ndiyo mambo ya JF!Retired kwani mimi nakupenda??? Halafu wachana na kukupenda, mimi hata sijawahi kujua kama unaexist🤣🤣🤣
Kuendesha chama unafikiri ni mchezo eehWakifanya hivyo watatusaidia sana, maana mh. Lissu ataunda chama kingine amabacho kitakua vizuri mnoo