Pure Gentleman
JF-Expert Member
- Aug 14, 2025
- 351
- 871
Uislam unazingumzia haki kwa kiasi kikubwa masheikh wetu wasipotoshe hkuna muislam mwenye akili timanu na ana elimu ya dini akawasapoti hao wanapotoshaβYeye ndiye aliyemtuma Mtume Wake kwa mwongozo na dini ya haki ili ishinde dini zoteβ¦β
Yaani wacenge wawili waseme uchaguzi upelekwe mbele na tukubali!?Hakuna asiyejua ukweli unauma kwa kiasi gani. Si wajibu wa TEC kubalance shobo, serekali ilishaambiwa toka mwanzo uchaguzi usogezwe mbele ili matatizo yaliyopo yafanyiwe kazi. Lakini walikuwa na kura zao 31m mkononi za kubumba.
Sasa umma umegoma ndio wanaokota matepeli wanaojifanya waisilamu. Uzuri TEC hawajibizani na wajinga, wanasikilizia milio tu baada ya kuweka ukweli hadharani.
Vumilieni matokeo ya ujinga wenu. Ama hizo kura 31m hewa ndio zilikuwa zinawapa kiburi?Yaani wacenge wawili waseme uchaguzi upelekwe mbele na tukubali!?
Nchi siyo ya heche,lisu na TECVumilieni matokeo ya ujinga wenu. Ama hizo kura 31m hewa ndio zilikuwa zinawapa kiburi?
Wenzetu wanafundishwa wakiua hata kwa kujiripua wanapata first class treatment akhera (mf. mabikra first class, pombe tamu 100% alcohol). Mapadri na maaskofu wachukue tahadhari.Maneno ya kipuuzi lakini maaskofu wasipuuze vitisho. Wachukue tahadhari muhimu.
Labda waislam ubwabwa ndo wanaunga mkono tecHiyo bidhaa ya udini nayo imekataliwa, waislamu tupo nao vijiweni nao wanaunga mkono TEC na kulaani mauji
Uko wapi mkuu? Wewe si ndiye uliyekuwa unahamasisha watu wachome mali za umma na watubinafsi pia kuua watz kabla ya vurugu za tarehe 29/10/2025? Ulikuwa unatoa na mafundisho kabisa jinsi yakufanya huo unyama!!Hawa ni wapumbavu wa Samia aliowatuma kujaribu kupandikiza mbegu ya udini.
Uzuri Watanganyika tumeshawakataa na upumbavu wao maana adui wetu sio uislam wala ukristo. Adui wetu ni mpumbavu Samia anayetaka kutuua na kutuangamiza Watanganyika
Huyu inawezekana ndio LuchaNimemsikiliza kiongozi mmoja wa Kiislam ambaye amejichubua ngozi akiwatisha maaskofu wa TEC kuwa wanasubiri maelekezo kutoka kwa viongozi wao ili wawashughulie hao maaskofu kwa kile anachodai kuratibu maandamano yanayokuja.
Binafsi najiuliza, Lini Maaskofu wa TEC wameratibu hayo maandamano? Au ni chuki tu!
Mamlaka inabidi kuchukua hatua kali sana kwa hawa viongozi, wamehubiri chuki sana ambayo inaweza kuleta madhara makubwa.
Inawezekana huyu ni Lucha yule member aliye shoga humu maana ana mikwara kama hii. Huyu inaonekana hata sisimizi hawezi kuua.Nimemsikiliza kiongozi mmoja wa Kiislam ambaye amejichubua ngozi akiwatisha maaskofu wa TEC kuwa wanasubiri maelekezo kutoka kwa viongozi wao ili wawashughulie hao maaskofu kwa kile anachodai kuratibu maandamano yanayokuja.
Binafsi najiuliza, Lini Maaskofu wa TEC wameratibu hayo maandamano? Au ni chuki tu!
Mamlaka inabidi kuchukua hatua kali sana kwa hawa viongozi, wamehubiri chuki sana ambayo inaweza kuleta madhara makubwa.
Endeleeni kujitekenya na kucheka wenyewe.Uko wapi mkuu? Wewe si ndiye uliyekuwa unahamasisha watu wachome mali za umma na watubinafsi pia kuua watz kabla ya vurugu za tarehe 29/10/2025? Ulikuwa unatoa na mafundisho kabisa jinsi yakufanya huo unyama!!
Hujakamatwa bado na Polisi au ICC?