PostGE2025 Viongozi wa Kiislam rasmi wawatishia Maisha Maaskofu TEC, wasema wanasubiri maelekezo ili wawashughulikie

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Hao ni wa kuwapuuza tu kwasababu, tunajua wametumwa.
 
Jibu swali acha uhaini.
We endelea tu kujitekenya na kucheka mwenyewe.

Baada ya kutuua Watanganyika kwa maelfu saivi mnajifanya kutanga kupandikiza udini sio?

Hizo cd zenu zimeshafeli kabla haya ya kuanza maana Watangayika tunajua shida yetu ni Samia na CCM yake wala sio uislam wala ukristo.
 
Wewe ndiyo unajitekenya threads zako zipo sehemu salama humu JF wala hutakwepa. Vipi tarehe 9 hutowi tena mafundisho ya uhaini?
 
Wewe ndiyo unajitekenya threads zako zipo sehemu salama humu JF wala hutakwepa. Vipi tarehe 9 hutowi tena mafundisho ya uhaini?
Kwani shida iko wapi?

Thread zina shida gani?

Jueni tu mwisho wenu umefika. Watanganyika hatununui tena uoga.
 

Ni CHUKI tu.

Wakati wanatoka WARAKA wa kuwatahadharisha kabla ya Uchaguzi waliwaijia juu. Sasa tena baada ya uchaguzi same story.
 
Utasubiri sana muuwaji mkubwa wewe. Na mwisho wenu ni Desemba 9
Muuaji ni wewe uliwadanganya watoto wa watu wewe ukakimbia nchi. Muuaji mkubwa namwomba Mungu akuue hukohuko usirudi TZ
 
 

Attachments

  • IMG_20251117_142853_579.jpg
    54.4 KB · Views: 19
Uzuri huku chini haya mambo hayapo nyie endeleeni kufurahishana juu uko huku chini maisha yanaendelea Juma anakula bia
 
Waislamu vs. Wakristo
Wazanzibari vs. Watanganyika
CCM vs everyone else
Wananchi vs. Polisi
Polisi vs. JWTZ

Hatuna nchi hapa. Tanzania, as we know it, is done. Sababu tu ya mtu mmoja!

Mkunda upogo?
Njia pekee ya kuokoa nchi ni kupindua nchi
 
kwanini wawajibu TEC, kwani TEC kuna sehemu wamewataja?
Kwani wao ndo serikali?
 
Huyu mbwa gaidi hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…