Viongozi wa Serikali mnaopenda kufanya maamuzi ya kujijenga binafsi kisiasa muache. Sikubaliani na hili tamko la RC Mtaka

kuna jirani yangu ameleta wadada wawili wa kumsaidia kazi hapo kwake, hawa wadada wametokea mikoa ya hukohuko aliko RC, hawa wadada wamemaliza darasa la saba mwaka jana na juzi. Wote wamekuja hawana chupi hata moja...anawauliza hamvai chupi kwanini wanamwambia hawana wala hawajawahi nunuliwa chupi na wazazi wao, hawajui matumizi ya chupi..wao ni magauni tu na sketi blauzi. RC Mtaka anajua watanzania wengi tulivyo na maisha magumu, anawaambia wananchi wake kuliko wakakaa nyumbani wakaisubiri uniform ambayo haijulikani ni lini mzazi atapata hela ya kuinunua bora waendelee kwenda shule wakati mzazi na watu wengine wenye huruma wakisubiriwa kumsaidia mtoto apate uniform awe sawa na wanafunzi wenzake. Mtaka yupo sahihi sana alafu nampenda sana tangu nianze kumfuatilia utendaji wake kwakweli nafarijika sana. Sijui nimeeleweka maana sina kipaji cha kujieleza!😕
 
Unawezaje kununua sketi na gauni ushindwe chupi?
 
Hawana sasa uniform

Hawana uwezo wa kununua uniform pia

Ova
Halafu uwezo wa kusoma na uniforms vinahusiana vipi? Yaani mtu asiende shule sababu ya sare? RC yuko sahihi mtoto hana sare aende shule siku mzazi akipata uwezo atamnunulia sare. Mimi natembelea sana vijijini, watu ni masikini mnooo, niliwahi kwenda shule moja ya msingi huko mikoa ya ziwa Tanganyika aisee nearly 70 % ya wanafunzi hawakuwa hata na yeboyebo ambazo zinauzwa elfu 2000 tuu.
 
Si mmekuwa mkimsifu na ameshalewa sifa punde atakuwa km Makonda maana Makonda alijiona yuko juu ya mawaziri alikuwa hawaheshimu. Mgema akisifiwa... Anafanya mambo ambayo hata rais hawezi kuyafanya maana rais hawezi kutoa kauli km hiyo ni mlevi tu anaweza kufanya hivyo.
Humjua Mtaka vizuri wewe, nimefanya naye kazi ni critical thinker...
 
Ulaya hawana uniform kabisa na hairuhusiwi kabisa hata baadhi ya nchi graduation ni marufuku maana ni ujinga. Kichoangaliwa ni competency ya mhusika.
[emoji106][emoji106]
 
Iwapo kila mtu ataamua kuvaa anavyotaka itakuwa shida hapo shuleni hasa kwa haohao watoto wa maskini.
Shida gani kwa mfano? Nipe uhusiano wa kuvaa uniforms na kuelimika/kujifunza tafadhali.
 
Wewe ni mpumbavu. Shule zingeruhusiwa kila mtoto kujivalia nguo yoyote unadhani ingekuaje kisaikolojia hasa kwa watoto wa maskini?
Vyuo vikuuu wanavaa uniforms? Hakuna masikini huko?? Punguzeni kukariri...
 
Ona huyu naye. Wewe umetembelea nchi gani ya Ulaya?
Umeona uniform hapoo?
Screenshot_20221217-230937.jpg
 
kuna jirani yangu ameleta wadada wawili wa kumsaidia kazi hapo kwake, hawa wadada wametokea mikoa ya hukohuko aliko RC, hawa wadada wamemaliza darasa la saba mwaka jana na juzi. Wote wamekuja hawana chupi hata moja...anawauliza hamvai chupi kwanini wanamwambia hawana wala hawajawahi nunuliwa chupi na wazazi wao, hawajui matumizi ya chupi..wao ni magauni tu na sketi blauzi. RC Mtaka anajua watanzania wengi tulivyo na maisha magumu, anawaambia wananchi wake kuliko wakakaa nyumbani wakaisubiri uniform ambayo haijulikani ni lini mzazi atapata hela ya kuinunua bora waendelee kwenda shule wakati mzazi na watu wengine wenye huruma wakisubiriwa kumsaidia mtoto apate uniform awe sawa na wanafunzi wenzake. Mtaka yupo sahihi sana alafu nampenda sana tangu nianze kumfuatilia utendaji wake kwakweli nafarijika sana. Sijui nimeeleweka maana sina kipaji cha kujieleza!😕
Mimi nimefanya naye kazi, kwanza anauwezo mkubwa wa kutafakari na kuchambua mambo. Halafu anayajua maisha halisi ya mtanzania wa vijijini. Pia Ukimwambia kitu anashaurika...
 
Mwamba Angepewa Ubunge wa Kuteuliwa na Akapewa Wizara ya Elimu, hata kwa mwaka mmoja tu,
Tunge enjoy saana, hata na Mabadiliko ya Syllabus
 
Unawezaje kununua sketi na gauni ushindwe chupi?
Mhh...unaangalia budget yako alafu unaamua kununua cha muhimu tu. chupi huwezi kuvaa peke yake ukatembea barabarani, illa unaweza nunua gauni ukavaa na ukatembea barabarani kwa uhuru bila kuvaa chupi. Maisha ya wengi yapo hivyo....
unaweza ukaona kuna mtu anakula ugari asubuhi alafu hanywi chai ukadhani amependa..kumbe anafuta chai, alafu anakula ugari hadi usiku anakula kwa mara nyingine. unatakiwa usijiangalie wewe peke yako bali angalia na hali za wengine ndugu yangu
 
Yupo sahihi watoto waende shule then campaign ya kuwavalisha uniform itafuata kama tulivyofanya kwenye madawati
 
Back
Top Bottom