Viongozi wa Serikali mnaopenda kufanya maamuzi ya kujijenga binafsi kisiasa muache. Sikubaliani na hili tamko la RC Mtaka

Viongozi wa Serikali mnaopenda kufanya maamuzi ya kujijenga binafsi kisiasa muache. Sikubaliani na hili tamko la RC Mtaka

Nakumbuka nili-report form 6 nikakutana na jamaa hana uniform na alikaa km mwezi.
Badae akapewa suruali nyeusi na jamaa mmoja kutoka Arusha.
Mtaka yuko sahihi; pia kumpinga waziri alikua sahihi. Mtaka kwenye swala la elimu ndo mtu pekee sahihi anayewasemea wasio na sauti
tuache poroioporoio ambazo ni zero. sare za shule ni kitu cha lazima, hauwezi kuwa na shule isiyokuwa na uniform, awanunulie uniform ndio warnde shule, msiwatwike mzigo walimu maana wao wanafuata sheria zilizzopo na zimeandikwa sio matamko yenu
 
Ulaya hawana uniform kabisa na hairuhusiwi kabisa hata baadhi ya nchi graduation ni marufuku maana ni ujinga. Kichoangaliwa ni competency ya mhusika.
unachosema ni kweli????!!!???
In Australia, each school or school system can set its own uniform policy. Wearing a uniform is compulsory in most Australian private and all Catholic schools, as well as in most public schools, as well as primary schools. Uniforms usually have a colour scheme based on the school colours. Uniform and appearance are generally strictly enforced in private and Catholic schools, though less so in public schools, which generally allow their students a reasonable amount of leeway. Most, if not all, private schools have the school logo incorporated in the uniform ensemble, typically on the tie and the blazer breast pocket.
 
Back
Top Bottom