Johnson Fundi
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 1,386
- 1,207
tuache poroioporoio ambazo ni zero. sare za shule ni kitu cha lazima, hauwezi kuwa na shule isiyokuwa na uniform, awanunulie uniform ndio warnde shule, msiwatwike mzigo walimu maana wao wanafuata sheria zilizzopo na zimeandikwa sio matamko yenuNakumbuka nili-report form 6 nikakutana na jamaa hana uniform na alikaa km mwezi.
Badae akapewa suruali nyeusi na jamaa mmoja kutoka Arusha.
Mtaka yuko sahihi; pia kumpinga waziri alikua sahihi. Mtaka kwenye swala la elimu ndo mtu pekee sahihi anayewasemea wasio na sauti