Viongozi wa Tanzania, endeleeni kucheza kamari na mali zenu, ya Zelensky hayapo mbali

Kumbe nina ongea na mtu ambaye haifahamu vyema historia ya dunia na siasa zake ?? Kama hakuna nchi inayo taka kuchukua ardhi ya nchi nyingine kwanini Nato walivunja mkataba wa minsk ulioweka makubaliano baina ya nato na russia kwamba Nato haito jitanua zaidi kwa kuisogelea russia ili kuondoa tishio la amani kwa taifa la russia na kwanini trump anataka kuichukua palestine na canada ??
 

View: https://m.youtube.com/watch?v=yWbK5gfNYd4
Ni mpango wa kumi attack ata huyu former national security advisor anakubali; ‘Susan Rice’ anakubali. Lakini kwa faida ya nani.

Apparently kwenye press kama hizo za viongozi wa nchi nyingine White House protocol hakuna anaeruhusiwa kuongea zaidi ya US president.

Kwa hivyo hadi vice president kuongea kulikuwa na makubaliano ya awali na Trump wafanye waliyofanya, inadaiwa mwisho Trump alisikika akisema this will make good television.

Kuona extent ya diplomatic debacle ya kilichotokea inahitaji uelewa pia wa namna ofisi za maraisi wa nchi zilizoendelea na roles za civil servants. Kuna mwingine nimemsikia kwenye interview nyingine Trump kawadhalilisha sana proffesional wa white house mbele ya dunia waonekane kama vile hawajui majukumu yao.

Shambles
 
Wenzetu wajasiri sana.wanaambiana live bila chenga.Ingekuwa wa kwetu Hawa wangekuwa wanapongezana na kuzungukazinguka kukwepa kuambiana ukweli.Mfano tumejionea ule mkutano wa wakuu pale Dar es salaam (heads of states summit)ambapo rais wa Rwanda humtuhumu kusababisha vita congo lakini kwenye kikao Chao walikuwa wanampongeza tu kagame.
 
Mkuu utasemaje kuhusu Rwanda, huko Congo!
Rwanda anatamani angekuwa na ardhi kubwa lakini kutwaa ardhi ya Kongo karne hii hatoweza, iko siku atakutana na wakongo walio changanyikiwa watapigana hata kwa fimbo kurudisha ardhi yao.

Sasa hivi unaona kama wajinga, iko siku utaelewa, ngoja pachangamke.

Unaona Sudan kunavyo changamka, walidhani kuigawa nchi walimaliza tatizo kumbe walipoza tu, Iko siku hapatakalika pale.
 
Do you think Trump na vence hawajui wanacho kifanya ?? Yaani hapo zele atake asitake ni lazima tu atatema bungo maana usa ni lazima pesa zao zirudi hakunaga msaada wa bure ktk siasa hayo mengine mnalishwaga propaganda tu
 
Ndio shida inapokuja hapo Elon Musk anaelewa vipi extent ya security plans za US.

Unajuaje labda US intelligence wanatumia USAID kama njia ya cover up kwa spies wao.
 
NATO haikutaka kujiongeza, Ukraine alitaka kujiunga ili kupata Ulinzi.

Trump anapiga Kelele tu, Palestina ataichuka vipi, aipeleke wapi?
 
Do you think Trump na vence hawajui wanacho kifanya ?? Yaani hapo zele atake asitake ni lazima tu atatema bungo maana usa ni lazima pesa zao zirudi hakunaga msaada wa bure ktk siasa hayo mengine mnalishwaga propaganda tu
As NATO ni gani EU na US wana share security information? Na je hizo info hazina faida kwenye national security za US?

Mambo sio rahisi hivyo kama unavyoongea
 
NATO haikutaka kujiongeza, Ukraine alitaka kujiunga ili kupata Ulinzi.

Trump anapiga Kelele tu, Palestina ataichuka vipi, aipeleke wapi?
Hivi umeelewa nilicho kuuliza ?? Kwanini walimvunja mkataba ? Kitendo cha kuvunja mkataba walio kubaliana ilhali wanajua kitakuwa ni threat kwa russia hawakujua kuwa lazima kitaleta vita ?? Tena sio vita ya dunia maana russia ni nyuklia power country., kwanini hawa kuheshimu huo mkataba ,


Kitu ambacho haikujui ni kwamba west wanatamani rasilimali za russia miaka nenda rudi kabla hata ya karne 21 so wana fanya kila namna ili russia iwe dhaifu wapate kuivamia na kuchukua walichonacho west baada ya kushindwa kupenya russia na kuchukua rasimali zao ndio wakaigeukia africa

Muwage mnasoma historia

Halafu umesema trump anaongea tu like seriously??! Hivi unajua kwa nafasi aliyonayo kauli yake ktk medani za kisiasa za kimataifa ina nguvu kiasi gani ? Je hauoni kuwa kauli yake inazidi kuchochea uvunjifu wa amani na kuwafanya wapelestina wazidi kuonekana kuwa ni wavamizi ktk ardhi waliyoishi miaka na miaka??
 
Mkuu wachezee mara ngapi tena?
Kila kitu kilishauzwa!
 
As NATO ni gani EU na US wana share security information? Na je hizo info hazina faida kwenye national security za US?

Mambo sio rahisi hivyo kama unavyoongea
Why wasi shee security info pindi linapokuja suala la umoja wao as Nato ???
 
Kwa hiyo ilikuwa sahihi Russia kuivamia Ukraine? Mbona Finland walijiunga NATO hakuwapiga au Finaland ni mbali sana na Russia?

Huyo Trump ana bwabwaja ahana lolote anaweza kufanya. Palestina itakaa kama ilivyo.
 
💯%.
 
We hukuona katoto ka Elon musk kalivyokuwa kanajimwayamwaya mle ndani...yaan mambo ni ya ajabuajabu tu
 
Acha ujinga


Acheni kujikita kwenye hizo dakika 5 za mwisho


Mimi mwenyewe nilianza kumuona Trump sio ila baada ya kuifuatilia video ya dakika 40 ya Hicho kikao nimebadirisha mtazamo wangu.


Tangu mwanzo lengo la trump ilikuwa kumaliza vita na amani upatikane naomba utazame video chini nakuwekea. Sasa wewe kama Trump ungefanyaje. Mtu anashindwa kukuheshim Tena ikulu kwako.




View: https://x.com/CollinRugg/status/1895590525454983416?t=TFOBXunNR5vVa-eV-T4RTA&s=19
 
Hakuna cha ubaya wa aina yoyote huo ni ujumbe kwa viongozi wengi wapimbavu,,elewa uzi wa mwandishi
 
Why wasi shee security info pindi linapokuja suala la umoja wao as Nato ???

View: https://m.youtube.com/watch?v=pBhR99pdHps&pp=ygUZTWFyYyBSdWJpbyBzaG91bGQgcmVzaWduIA%3D%3D
Foreign Secretary na wasaidizi wake wengine wanasema A raisi anasema B. Mpaka wengine wanataka Marc Rubio astaafu inaonekana yeye na raisi hawapo page moja na wanapokea ushauri tofauti.

Hao National Securities advisors mmoja Republican, mwingine Liberal wanakwambia siasa za Trump ni harmful kwa allies wao na threat to national security kwenye ushirikiano.

We unataka kutoa vitu kichwani kwako, sampuli hii ya ubishi wa kitoto ndio binafsi inaniboa.

Soma kitabu vitabu kama ‘Putin’s People, How the KGB took back Russia and then took on the west’ by Catherine Belton

The Room where it happened by John Bolton

To name a few (chochote cha former senior civil servant) vinginevyo hapa tutakuwa tunaulizana maswali ambayo majibu yake yanataka maelezo marefu.

Kwetu muda wa kula daku na kulała 👋
 
Trump and his team had set up to humiliate Zelensky in order to force him to sign the mineral deal! Fortunately, Zelensky didn’t swallow the bait and came out strongly to defend the interests of his country. Many Americans believe Trump is Putin’s asset !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…