Viongozi wa Tanzania, endeleeni kucheza kamari na mali zenu, ya Zelensky hayapo mbali

Kwa hayo, leo, nakuunga mkono.

niongeze

Trump term yake ya kwanza wakina Steve B S miller ndio waliompoteza.

Safari hii S. Miller na Makamu wake ndio watakaompoteza mazima pamoja na kuwa na akili kubwa.

Unajiuliza

kwa kisikiliza mara ngapi Zelenski kasema Asante na kutoa shukurani nyingi tu, unabakia kushanga Makamu katoa wapi yale maneno ya Kudai Zelenski hana shukurani? Wame mgaslight mbaya sana ase. Amekufa kiume lakini
 
Vita vya ukraine vimeanza mwaka 2014 baada ya Rais wa ukraine victor kukimbizwa na waandamanaji wa ukraine na akakimbia russia ndo mwanzo wa mgogoro
Ili ujikumbushe
President Volodymyr Zelensky’s visit to Ankara on 18 February provided Turkey with an opportunity to present its stance on negotiations between the United States and the Russian Federation. During a press conference, Turkish President Recep Tayyip Erdoğan stated that the initiative of the Donald Trump administration, aimed at swiftly ending the war through negotiations, aligns with the diplomatic efforts that Ankara has pursued

"since the onset of the Russian invasion".
 
Sindio 🤣🤣

Yeye alidhani msaada anapewa bure hakunaga hilo katika siasa , ule msaada it was a big trap , mwisho wa siku hata kina biden lazima wange muambia awape rasilimali za Ukraine sema tofauti ya biden na Trump ameweka mambo hadharani wakati mambo kama hayo huwa ni siri, so ni lazima zelensky atie ngumu maana anaogopa kuonekana kuwa anaiuza nchi yake ila kama wangefanya kimya kimya pasingekuwa na huo utata ,
 
Kwa



Hahahahaha, mi nashangaa pale tunapoiona USA kama nchi zingine, HAPANA! USA ni dude jingine kabisa, NATO is nothing bila USA, na huenda viongozi wengine wa dunia hii ni CIA products.

Mkuu Lugano: USAID misaada yake ni 1% ya budget ya US, Trump katikisa kila sehemu ulimwenguni imejikuta inalalamika! Yako Mashirika mengi ya misaada Ulimwenguni, OXFAM, etc, niliangalia budget zao, ni kitu kidogo mno ulikinganisha na USA....Unaweza kuwa na chuki na USA, lakini ukiangalia utajiri na spending nyingi za pesa yake, unajua wazi hawa jamaa walitangulia mbali mno.
 
Trump kaonyesha upuuzi kutafuta sifa. Hajui huyoo ni raisi wa nchi.

Upuuzi kwa nani Mkuu....! Labda ungesubiri Mid Term election ndio unaweza kusema maneno haya! Kama Uchumi wa ndani akiingiza tu pesa mikono mwa Wamerekani, mambo hayo yote yatabakia hadithi tu!
 
Wameonyesha ushamba wa hali ya juu
 

Ulaya ikimsadia aendelee na vita, hapo ndio utasema imemsadia! Pesa alitoa US huwezi linganisha na pesa za Ulaya.
 
Kwanza acha ubaguzi ukidhani waarabu wote wanafanana au nchi hii walipaji Kodi wakubwa ni waarabu na wahindi bila wao hata mishahara ya mwezi tusingeweza.
 
Hakuna mpya,huna pesa,unafuata nyayo za Kafulila PPP,Wanajenga wanawauzia huduma,mnawatoza kodi.

LAKINI akijenga bandari from scratch kuwa modern hitec major port,labda Saudia amezamisha dollar Billion 60,
Mara mwekezaji ameenda kinyume mnataka kuvunja mkataba,pesa za kulipa hamna,mkopo ndio kabisa haiwezekani mkitaka kuchukuwa bandari yenu itawachukuwa miaka mingapi?
Ndio hapa mara zote natofautiana na Kafulila kwa kipengele hicho.
Au ndio ukoloni mamboleo aliokuwa akihubiri Kwame Nkuruma miaka ya 60?
Walikanusha ya Bagamoyo, yamewashinda wamerudi kukiri kwamba ni kweli.
 
Zelensky ni mtu mweupe na watu weupe sio wajinga kama waafrika
Mwafrika alikuwa ni mda sana kaachia rasilimali
 

Marikani itarudi kwenye karne za kufanya biashara badala ya kukalia nchi nyingine kimabavu na kuweka marais mawakala wao .

Trump ni Chaguo la Mungu kufungua watu macho .

Nchi nyingi za Afrika zina viongozi wasiowaza kabisa wala kuwa na maono juu ya Vizazi vijavyo zaidi ya matumbo yao.

Nchi kama Tanzania haina akiba ya dhahabu hata tani laki moja benki kuu .
Mbaya zaidi anakuja Rais Mgeni anaamua kuuza hata akiba iliyofichwa kwenye hifadhi ya Serengeti ili karne zijazo wanyama wakibaki kwenye Mazoo basi ile akiba isaidie vizazi vijavyo .
Yeye anauza mpaka akina yote iliyopo chini ya ardhi .
Sawa achimbe basi hayo madini halafu aweke akiba ya dhahabu benki kuu . Yeye awape marafiki zake wachimbe zote wakahifadhi huko uarabuni na Ulaya halafu faida yake ni kupewa pesa za kutoa rushwa kwenye uchaguzi.

Trump anaifanya dunia iwe na mipaka na kila nchi ilinde mipaka ya nchi yake kwa faida ya wananchi.

Wananchi wa Ukraine hawanufaiki na vita . Hawanufaiki na NATO kwa sababu ya usalama bali wanataka manufaa ya kuwa huru na amani na kufanya biashara na nchi yoyote ikiwemo Urusi .
Lakini pia ni Wapumbavu tu ndio waliomdanganya Rais wa Ukraine aingie kwenye vita na Urusi .
NATO na Ukraine na hata Marekani kuingia kwenye vita na Urusi ni jambo la kijinga na la kipuuzi na la kishenzi kwa sababu ni vita itakayoangusha kabisa uchumi wa dunia nzima .
Sasa Trump kuachana na mambo ya vita ni kuiepusha dunia na ubabe wa kijinga .
Watu kwa chuki zao wanamlaumu Trump bila kujiuliza kuwa ni nchi ipi itaweza kuipiga Urusi na marafiki zake katika vita yoyote na kuishinda kabisa .
Kuishinda Urusi kwenye vita kunawezekana lakini dunia itakua imechoka sana.

Bora ni kipi,Ukraine kuachana na vita au kuendelea na vita kuzifurahisha nchi za ulaya huku Ukraine ikibaki magofu au kuachana na vita na kuijenga Ukraine yenye maendeleo ya wananchi ?

Trump wanyooshe baba😂😂😂😂
 
NATO na Ukraine na hata Marekani kuingia kwenye vita na Urusi ni jambo la kijinga na la kipuuzi na la kishenzi kwa sababu ni vita itakayoangusha kabisa uchumi wa dunia nzima .
You don't have a Card? If you're with us you have a Card and if you're not with us you don't have a Card. You want World War 3? You don't have a Card.

-Trump
 
Marekani kuwa Raisi au Makamu kwa sasa uwe WWW John Cina,au Undertaker.
Ukiwazengua na haki za binadamu wanakufungulia mbwa mkali Putin na Kiduku wakutafune.
Taiwan anajinyea kwa sasa maanake China ataichukuwq bila kupiga hata risasi mmoja.
Lithiwenia,Estonia,Lativia Finland,Poland,Romania,Chec wasubiri kunyolewa kipara,next door ni Germany.Watarudishwa kwa kishoka mother SOVIET.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…