Viongozi wa timu ya Simba na Waandishi washindwa kupanda Mlima Kilimanjaro

Viongozi wa timu ya Simba na Waandishi washindwa kupanda Mlima Kilimanjaro

Hata Mwenge wa Uhuru haukimbizwi na Rais..anakabidhi kwa watu walioandaliwa.
Uone aibu
Kiongozi wa kibegi unamjua?
Hayupo.
Mwenge na kibegi wapi na wapi?
 
Sasa naelewa kwanini kocha wa Azam anawapa mazoezi viongozi alioambatana nao preseason
 
Kupanda mlima sio lelemama aaseeee watu wanafia juu daily , afuuu mziki ni mnene inachukua kama wiki hivi
 
Wawapromote hao waliopanda ili wawe brand kubwa maana wamewaamini na kuwapa dhamana kubwa kiasi hicho. Kama tunavyomjua Nyirenda, nao tuwajue. Nina mpango wa kupanda mlima kilimanjaro kama siyo mwaka huu basi mwakani, ningependa kuwatumia watu hao hao.
 
Wakodi HEDIKOPTA kwenda kileleni si Wana hela. Kunatouti Gani na wale wapanda milima walioweka jezi ya Yanga mpya pale kileleni? Zoezi lingenoga km Ahmed ally na Amani kajura wangefika gilmans point na kuzindua.
Genta aliwatisha. Akisema viongozi hao wakifika kule kileleni na zile vyanya 2 zitaganda.
 
Jezi kwenda kuzinduliwa bila Kiongozi wa Simba, Inakuwaje?
---

Baada ya kufika kituo cha Kisambionyi uongozi wa Simba umekabidhi kibegi 🎒 kwa timu maalum ya wapanda milima ambao ni mashabiki wa Simba kuendelea na safari. 🗻

Viongozi na waandishi wa habari wameshuka wapanda mlima wanaendelea.

View attachment 2693475
Walifikiri watu wanajiendea tu bila matayarisho?

Walitakiwa waingie kambi miezi mitatu. Walifikiri lelemama hiyo?

Washazowea Dar hao, hapa na pale gari.
 
Back
Top Bottom