Viongozi wa Uamsho wapo huru?

Status
Not open for further replies.

DPP MPYA AKUTANA NA MASHEKHE GEREZANI UKONGA​

Walikamatwa na kushikiliwa mwaka gani?
Kwa amri ya Nani na kosa gani?

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app

Rais gani walikaa korokoroni katika kipindi chake chote? Rais gani ambaye katika kipindi chake lugha ya maelekezo kutoka juu lilizoeleka katika kuminya haki za watu?

Ni kujitoa ufahamu au kujitia hamnazo?
 
DPP MPYA AKUTANA NA MASHEKHE GEREZANI UKONGA​

Sisi ni taifa moja, Tuonapo viasharia vya vuvunjifu wa amani lazima tekemee vikali. Wazanzibar wengi huona kama wanaonewa hata kama wakifanya makosa.
Tuache hizi tabia.
 
Tuombe Mungu iwe kweli maana kukaa mahabusu kwa miaka 9 sio haki kabisa na ni ukiukwaji wa katiba na haki za binadamu.

DPP MPYA AKUTANA NA MASHEKHE GEREZANI UKONGA​

Miaka 9 bila kuhukumiwa ni muda mrefu.

Hopefully hawa sio wale waliokuwa wakichinja/wakihamashisha baadhi ya watu kuchinja wenzao na kuchoma makanisa na huu upuuzi hautajirudia tena
 
Kwahiyo kosa limehamia kwa alierithi madaraka?

Akili za chuki ni ngumu mno kujielewa

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app

Kwa hiyo yeye hakuona umuhimu wa kuwatendea haki kama tu aliokuwa akiwabambikizia kesi zikiwamo za uhujumu uchumi na madawa ya kulevya?

Akili za kushikiliwa ni ngumu mno kujielewa.
 
kwa nini watolewe usiku. Ni vyema wakatolewa mbele ya Mahakama saa za kazi.

Tuombe Allah kuwa walioachiwa sio magaidi. Lakini nashangaa sana wanaolalamika kuwa wamekukaa rumande muda mrefu, as iff ni wao tu ndio wameka rumande muda mrefu na hakuna wengine, na wanalalamika asi if serikali imewaweka kizuizini bila sababu yoyote. Kama serikali ingeweka kila kitu hadharani kutokana na habari za kiitenijensia ilizonazo nadhani maoni ya watu yangekuwa tofauti kabisa.
 
Kwa hiyo yeye hakuona umuhimu wa kuwatendea haki kama tu aliokuwa akiwabambikizia kesi zikiwamo za uhujumu uchumi na madawa ya kulevya?

Akili za kushikiliwa ni ngumu mno kujielewa.
Sina mamlaka ya kuwajibia marehemu.

Porojo sio sehemu ya maisha yangu, kukamatwa akili kimihemko sio asili yangu

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…